Sunday, July 13, 2014

Harusi ya Msanii Mwajuma Jimama na Bwana Melela Mussa

Msanii wa filamu na unenguaji Mwajuma Thabiti 'Mwajuma Jimama' akiwa katika pozi na mume wake Melela Mussa baada ya kufunga ndoa hivi karibuni Ilala Bungoni na kufuatia na sherehe kubwa. Bwana harusi ni mfanyabihashara na bi. harusi ni msanii wa kujitegemea.

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...