Sunday, July 13, 2014

Harusi ya Bwana Anicetus Busagi na Bi. Levina Mtei wa Dar

Anicetus M. Busagi kimtambulisha mkewe Levina A. Mtei kwa wageni waalikwa katika hafla ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam. 
Anicetus M. Busagi kimtambulisha mkewe Levina A. Mtei kwa wageni waalikwa katika hafla ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.Mhariri Mtendaji Mtendaji wa Gazeti la Jambo Leo Apata, Anicetus M. Busagi akiwa na mkewe Levina A. Mtei katika hafla kabambe ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Lunch Time. 
Mhariri Mtendaji Mtendaji wa Gazeti la Jambo Leo Apata, Anicetus M. Busagi akiwa na mkewe Levina A. Mtei katika hafla kabambe ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Lunch Time.Mhariri Mtendaji Mtendaji Jambo Leo Apata 'Jiko' 
Mhariri Mtendaji Mtendaji wa Gazeti la Jambo Leo Apata, Anicetus M. Busagi akilishana keki na mkewe Levina A. Mtei katika hafla ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.Anicetus M. Busagi na mkewe Levina A. Mtei wakipeleka zawadi ya keki kwa wazazi wa mkewe ikiwa ni ishara ya kuwashukuru wakwe zake. 
Anicetus M. Busagi na mkewe Levina A. Mtei wakipeleka zawadi ya keki kwa wazazi wa mkewe ikiwa ni ishara ya kuwashukuru wakwe zake. Anicetus M. Busagi kimtambulisha mkewe Bibi harusi, Levina A. Mtei akiwatambulisha ndugu jamaa na marafiki kwa wageni waalikwa katika hafla ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam. 
Anicetus M. Busagi kimtambulisha mkewe Bibi harusi, Levina A. Mtei akiwatambulisha ndugu jamaa na marafiki kwa wageni waalikwa katika hafla ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Bi harusi Levina A. Mtei akiwa na msimamizi wake.
Bi harusi Levina A. Mtei akiwa na msimamizi wakeWasimamizi wa maharusi wakiandaa keki ya maharusi kabla ya zoezi la kulishana kuanza.Wanakamati wa harusi ya Anicetus Mwessa na Levina Athanas wakipata picha ya ukumbusho mara baada ya kuwakabidhi maharusi kitita cha shilingi milioni moja ikiwa ni zawadi kwa maharusi hao. Wanakamati wa harusi ya Anicetus Mwessa na Levina Athanas wakipata picha ya ukumbusho mara baada ya kuwakabidhi maharusi kitita cha shilingi milioni moja ikiwa ni zawadi kwa maharusi hao.Picha za kumbukumbu na makundi mbalimbali ya wageni waalikwa. Picha za kumbukumbu na makundi mbalimbali ya wageni waalikwa.Wafanyakazi wenzake na Mhariri Mtendaji Mtendaji wa Gazeti la Jambo Leo, Anicetus Mwessa wakipata picha mara baada ya kuwazawadia maharusi. Wafanyakazi wenzake na Mhariri Mtendaji Mtendaji wa Gazeti la Jambo Leo, Anicetus Mwessa wakipata picha mara baada ya kuwazawadia maharusi.Picha za kumbukumbu na makundi mbalimbali ya wageni waalikwa. Picha za kumbukumbu na makundi mbalimbali ya wageni waalikwa.Picha za kumbukumbu na makundi mbalimbali ya wageni waalikwa. 
Picha za kumbukumbu na makundi mbalimbali ya wageni waalikwa.
Jamani taratibu...tusije tukazimika ukumbini...! Konyagi oyeeeeeee...! Jamani taratibu...tusije tukazimika ukumbini...! Konyagi oyeeeeeee...!Mwenyekiti wa kamati ya vinywaji Edson Kamukara akisakata rumba eneo lake la kazi...! Furaha ikizidi ni hatari. 
Mwenyekiti wa kamati ya vinywaji, Edson Kamukara akisakata rumba eneo lake la kazi...! Furaha ikizidi ni hatariiiii.Meza ya wazazi wa Levina Mtei. Meza ya wazazi wa Levina Mtei.Wageni waalikwa. Wageni waalikwa.Ni wakati wa kufungua mvinyo maalum wa harusi. Ni wakati wa kufungua mvinyo maalum wa harusi.Mbwembwe za mfungua mvinyo...ni habariiiii...! Mbwembwe za mfungua mvinyo...ni balaa...!
Mwenyekiti wa Kamati ya Harusi ya Anicetus Mwessa na Levina Athanas, Emmanuel Kimolo (kulia) akiteta jambo na mmoja wa wanakamati wake.
Mwenyekiti wa Kamati ya Harusi ya Anicetus Mwessa na Levina Athanas, Emmanuel Kimolo (kulia) akiteta jambo na mmoja wa wanakamati wake.Baadhi ya wageni waalikwa wakipata picha ya kumbukumbu na bi harusi ukumbini. 
Mwendeshaji wa Blog ya Harusi na Matukio (kushoto) akipata picha ya kumbukumbu na bi harusi ukumbini.
Mwenyekiti wa kamati ya vinywaji Edson Kamukara (kulia) akisakata rumba na mmoja wa wageni waalikwa.
Mwenyekiti wa kamati ya vinywaji Edson Kamukara (kulia) akisakata rumba na mmoja wa wageni waalikwa.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts Ltd, wachapishaji wa gazeti la Jambo Leo, Juma Pinto akizungumza kwenye hafla hiyo. 
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts Ltd, wachapishaji wa gazeti la Jambo Leo, Juma Pinto akizungumza kwenye hafla hiyo.Kucheza muziki kwaitaji hisia zaidi, baadhi ya wageni waalikwa wakilisakata rumba...! 
Kucheza muziki kwaitaji hisia zaidi, mmoja wa wageni waalikwa (kulia) akisakata rumba...! Kucheza muziki kwaitaji hisia zaidi, mmoja wa wageni waalikwa (kulia) akisakata rumba...!

Wakwe wakiserebuka ukumbini.
Wakwe wakiserebuka ukumbini.







Tabasamu kutoka kwa baadhi ya wanakamati wa harusi ya Mwessa.
 Tabasamu kutoka kwa baadhi ya wanakamati wa harusi ya Mwessa.

Neno toka kwa wazazi wa bwana harusi. 
Neno toka kwa wazazi wa bwana harusi.Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts Ltd, wachapishaji wa gazeti la Jambo Leo, Juma Pinto (kushoto) akijumuika na wageni waalikwa kwenye hafla hiyo. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts Ltd, wachapishaji wa gazeti la Jambo Leo, Juma Pinto (kushoto) akijumuika na wageni waalikwa kwenye hafla hiyo.Wageni waalikwa Mwendeshaji wa mtandao huu alikuwa ni miongoni mwa waalikwa (kulia).

Maharusi wakiondoka ukumbini...! 
Maharusi wakiondoka ukumbini...!

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...