Friday, September 19, 2014

Je, Wazijua Harusi Zinazofanyika Ndani ya Maji...!

Ufungaji wa harusi kwa sherehe za mbwembwe umekuwa ukishamiri kila uchao katika nchi tofauti. Wapo maharusi ambao sherehe zao huamua kufungia angani (kwenye ndege) ili kuleta manjonjo na pengine kuonesha uwezo wa kifedha. Kama hiyo haitoshi wafungaji wa harusi wamekuwa wakibuni njia mbalimbali ili kuleta utofauti katika sherehe zao. Lakini kwa sasa zipo nchi zingine maharusi wanaona fahari kufanya ndoa zao ndani ya maji nchi hizi ambazo harusi za majini zimeshamiri ni pamoja na taifa la China. 

Juu ni picha mbalimbali za maharusi wakionekana wakiwa ndani ya maji wakifunga ndoa zao kwa mbwembwe anuai. 

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...