Saturday, August 6, 2011

Harusi ya Josiah na mkewe Joyce


Josiah akimvisha pete mkewe Joyce siku walipofunga ndoa yao mbele ya Padre Patrick wa Kanisa la Mtakatifu Gasper De Bufallo Mbezi Beach.

Bibi Harusi Joyce akianguka wino kuashiria kumkubali mumewe kwa kila hali katika maisha yao yote ya ndoa huku akishuhudiwa na Padre Patrick wa kanisa hilo aliyewafungisha ndoa.


Bwana na Bibi harusi Josiah na Joyce wakiwa na wadhamini wa ndoa yao kanisani siku ya ndoa yao. 


Ni-bebe ni beeee beeee! Ni-bebe ni beeeeee beeee! Ndivyo anavyoashiria kuimba Bi. Joyce wakati mumewe alipombeba walipokuwa wakipata picha za ukumbusho wa tukio hilo la milele huko pembezoni mwa Bahari ya Hindi jijini Dar es Salaam baada ya ndoa yao. (Picha kwa hisani ya Full Shangwe Blog)



No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...