Bwana harusi Edwin  Hamli na Mkewe Isabella Mushi wakipozi kwa picha mara baada ya kufunga ndoa yao takatifu kwenye kanisa katoliki la Chang'ombe na kufuataia na hafla ya kukata na shoka kwenye ukumbi wa Water Front jijini Dar es salaam usiku huu, hafla hiyo imehudhuriwa na ndugu marafiki na jamaa wa maharusi katika kufanikisha.
 
 
Edwin  Hamli na Mkewe Isabella Mushi wakivishana pete wakatia walipofunga ndoa yao takatifu kwenye kanisa katoliki la Chang'ombe.

 baadhi ya wasimamizi wa harusi hiyo wakishiriki ibada ya harusi hiyo kwenye kanisa katoliki la Chang'ombe jijini Dar es salaam.
 
 
Edwin  Hamli na Mkewe Isabella Mushi wakipozi wakiwa na waimamizi wao  mara baada ya kufunga ndoa yao takatifu kwenye kanisa katoliki la Chang'ombe.
 
 
Edwin  Hamli na Mkewe Isabella Mushi wakionyesha vyeti vya ndoa  mara baada ya kufunga ndoa yao takatifu kwenye kanisa katoliki la Chang'ombe.
 
 
 Maharusi  Edwin  Hamli na Mkewe Isabella Mushi wakipozi kwa picha kwenye ukumbi wa Woter Front mara baada ya kufunga ndoa yao takatifu kwenye kanisa katoliki la Chang'ombe
 
 
Chilumba wa pili kutoka kulia na Hassan Mabuyu wa pili kutoka kushoto wakiserebuka kwa muziki.





No comments:
Post a Comment