Maharusi pamoja na wapambe wao wakiwa wamenyanyua glasi juu tayari kwa kugonganisha na ndugu jamaa na marafiki. |
Bwana harusi Boniface J. Njanga akipozi na mkewe Bi. Irine H. Mshanga mara baada ya kufunga pingu za maisha, Septemba 27, 2014 jijini Dar es Salaam. |
Meza ya 'makaka' wa bibiharusi ikifuatilia matukio ya tafrija. |
Baadhi ya 'madada' wa biharusi. |
Meza ya madada wa bibi harusi pamoja na marafikizao wakifuatilia tafrija. |
Ndugu, jamaa na marafiki wa maharusi wakiwa katika tafrija hiyo |
"Kitambaaa cheupeeee..." baadhi ya wageni waalikwa wakicheza wimbo kitambaa cheupe ukumbini. Meza ya wazazi wa bwana harusi ikijiandaa kugonganisha glasi za vinywaji na maharusi. |