Thursday, October 3, 2013

Harusi ya Bw. Max Komba na Bi. Pendo Max Komba ilivyofana


Bwana Max Komba
Mrs Pendo Max Komba
Pendo akati akiwa bado humo katika shera
Baadhi ya wageni kutoka Ruvuma wakigaragara chini kama ishara ya kumheshimu Bwana Komba, walipowasili nyumbani kwa Bwana harusi, Tabata Dar es Salaam, tayari kushiriki suguli nzima ya harusi iyo.

Komba akiwa mbele ya nyumba yake, muda mfupi kabla ya kwenda Kanisani.

wageni wakipata msosi wa mchana nyumbani kwa Komba.

Mapishi yakiendelea kabla ya watu kwenda harusini.

Mmoja wa wapambe wa karibu akimshauri jambo Komba kabla ya kwenda kufunga ndoa.

Baadhi ya waalikwa wakiwa katika basi maalum kwenda Kanisani.

Waalikwa wakiwa katika basi maalum kwenda Kanisani.

Komba akitoka rasmi nyumbani kwenda Kanisani kufunga ndoa

Komba na mpambe wake wakiwasili kanisani kwa gari ambalo ni mali yake.

Pandre akampokea Komba na mpambe wake

Shamrashamra zikiendelea kanisani kupokea maharusi

Bi Pendo ambaye sasa ni Mrs Komba akiwasili Kanisani

Pendo akiingia kanisani

Komba na mkewe wakiwa mbele ya Padre

Hapa wakiwa tayari kufungishwa mdoa

Wakisubiri kwa hamu kufumgishwa ndoa.

Padre akiwa mbele yao kuwaleza mambo muhimu yahusuyo ndoa...

Baadhi ya watoto wanafamilia, ndugu na jamaa wakiwa kanisani.


Kwaya ya kanisa ikisherehesha kwa nyimbo za mapambio.

Baadhi ya wazee wa karibu wa bwana harusi.

waalikwa wakiwa kanisani.

Maharusi na wapambe wao wakiwa kanisani.

Kisha padre akaja mbele yao
'Shikaneni mikono' Padre akasema, nao wakafanya hivyo
Na Padre akaweka mkoni wake juu ya mikono yao kuwafungisha ndoa
Na hatimaye ikawa kama hivi...na kuungana milele. 

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...