![]() |
| Maharusi Bw. James W. Mwangwa na mkewe Bi. Mary C. Kimbi wakiwa katika picha na baadhi ya ndugu wa karibu. |
![]() |
| Meza ya wazazi wa Bi. Harusi Mary C. Kimbi wakifuatilia matukio katika sherehe hiyo. |
![]() |
| Bwana Harusi James W. Mwangwa (kulia) akimwangalia babayake akiandaa ndafu kwa ajili ya kulishana maharusi na wazazi wa maharusi. |
![]() |
| Meza ya wazazi na ndugu wa karibu wa biharusi Mary C. Kimbi. |
![]() |
| Bi. Harusi Mary C. Kimbi (katikati) akimlisha kipande cha ndafu mamamkwe. Kushoto ni mumewe akiwa na babayake wakishuhudia tukio hilo. |
![]() |
| Wapambe wa maharusi wakiwa katika pozi ukumbini. |
![]() |
| Burudani ukumbini....! |
![]() |
| Ndugu na jamaa wa karibu wakikabidhi zawadi zao kwa maharusi wakati wa pongezi. |
![]() |
| Zawadi kwa maharusi. |
![]() |
| Ndugu jamaa na marafiki wakiwa ukumbini. |
![]() |
| Ndugu jamaa na marafiki wakifuatilia matukio katika hafla hiyo. |
![]() |
| Ndugu jamaa na marafiki wakifuatilia matukio katika hafla hiyo. |
![]() |
| Ndugu jamaa na marafiki wakifuatilia matukio katika hafla hiyo. |
![]() |
| Makundi mbalimbali ya Ndugu jamaa na marafiki yakipata picha mara baada ya kutoa zawadi zao kwa maharusi. |
![]() |
| Wa kwanza kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi, Oscar Munishi akimsikiliza MC wa shughuli hiyo (aliyeshika kipaza sauti) alipokuwa akitoa utaratibu ukumbini. |
![]() |
| Mama wa bwana harusi akizawadiwa na ndugu jamaa na marafiki ukumbini. |
![]() |
| Ndugu wa karibu wa bwana harusi. |
![]() |
| Wazazi wa bwana harusi wakizawadiwa na ndugu jamaa na marafiki ukumbini. |
![]() |
| Shughuli ikiendeles...! |
![]() |
| Kamati ya maandalizi ya sherehe hiyo ikicheza na maharusi wao mara baada ya kutoa zawadi. |
![]() |
| Wageni waalikwa, ndugu, jamaa na marafiki wakiserebuka ukumbini. |






















Insights Productions Limited kwa udhamini wa Azam Tanzania inaandaa maonesho makubwa ya keki yatakayojulikana kama 'Azam World of Cakes Exhibition'. Maonesho hayo pamoja na mafunzo kwa washiriki yatafanyika Mwezi Desemba 6, 2014 jijini Dar es Salaam Serena Hotel. Mawasiliano kwa washiriki; 0763580600 au Barua pepe; marionelias@gmail.com[/caption]

Insights Productions Limited kwa udhamini wa Azam Tanzania inaandaa maonesho makubwa ya keki yatakayojulikana kama 'Azam World of Cakes Exhibition'. Maonesho hayo pamoja na mafunzo kwa washiriki yatafanyika Mwezi Desemba 6, 2014 jijini Dar es Salaam Serena Hotel. Mawasiliano kwa washiriki; 0763580600 au Barua pepe; marionelias@gmail.com .

Insights Productions Limited kwa udhamini wa Azam Tanzania inaandaa maonesho makubwa ya keki yatakayojulikana kama 'Azam World of Cakes Exhibition'. Maonesho hayo pamoja na mafunzo kwa washiriki yatafanyika Mwezi Desemba 6, 2014 jijini Dar es Salaam Serena Hotel. Mawasiliano kwa washiriki; 0763580600 au Barua pepe; marionelias@gmail.com.

Insights Productions Limited kwa udhamini wa Azam Tanzania inaandaa maonesho makubwa ya keki yatakayojulikana kama 'Azam World of Cakes Exhibition'. Maonesho hayo pamoja na mafunzo kwa washiriki yatafanyika Mwezi Desemba 6, 2014 jijini Dar es Salaam Serena Hotel. Mawasiliano kwa washiriki; 0763580600 au Barua pepe; marionelias@gmail.com.