Thursday, August 27, 2015

Mshindi wa TMT 2015 Mpaka kieleweke Apokelewa kwa Nderemo Moshi


Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa Mshindi wa Shindano la TMT 2015 #mpakakieleweke Dennis Lwasai wakiwa na bango linalomwelezea mahindi huyo wakati walipojitokeza kumpokea wakati akirejea nyumbani kwao Mambogini Moshi Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa Mshindi wa Shindano la TMT 2015 #mpakakieleweke Dennis Lwasai wakiwa na bango linalomwelezea mahindi huyo wakati walipojitokeza kumpokea wakati akirejea nyumbani kwao Mambogini Moshi[/caption]  
 Mshindi wa TMT 2015 #mpakakieleweke Dennis Lwasai akiwasalimia wakazi wa mji wa Moshi waliokuwa wakimpongeza wakati akirejea kwao Mambo
 Wakitoa Mkono wa pongezi kwa mshindi wakati akipita kuelekea nyumbani kwao
 Kwa hisia huku akifurahi
 Alipokelewa hivi na vijana wenzie
 Kila Kona walijitokeza wadau kumpongeza
 Ndugu, Jamaa na marafiki wakimpokea mshindi wao na kumpongeza kwa kuibuka mshindi na kuiwakilisha kanda ya kaskazini vyema
 Mama Mzazi wa Mshindi wa TMT 2015, Dennis Lwasai akimkumbatia mwanae na kumpongeza kwa kuibuka kinara wa TMT 2015 na kuondoka na kitita cha Shilingi Milioni 50 za kitanzania
 Mama mzazi wa mshindi wa TMT 2015 Dennis Lwasai akitoa maneno ya shukrani kwa vijana na watu waliojitokeza kumpokea Dennis wakati akirejea kwao Moshi hapo jana
Dennis Lwasai mshindi wa shindano la tmt 2015 #mpakakieleweke akitoa maneno ya shukrani kwa vijana na watu wote waliojitokeza kumpokea mapema jana wakati akirejea nyumbani Kwao Moshi
Picha zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog

Mgambo Mwisho Kukamata Wafanyabiashara Ndogondogo - CCM

Baadhi ya wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa tiketi ya CCM akihutubia Jimbo la Arumeru. Baadhi ya wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa tiketi ya CCM akihutubia Jimbo la Arumeru.Baadhi ya wananchi na viongozi wa wafugaji wa kimasai wakifuatili mkutano Baadhi ya wananchi na viongozi wa wafugaji wa kimasai wakifuatili kutano
Baadhi ya wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa tiketi ya CCM akihutubia Jimbo la Arumeru. Baadhi ya wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa tiketi ya CCM akihutubia Jimbo la Arumeru.Baadhi ya wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa tiketi ya CCM akihutubia Jimbo la Arumeru. Baadhi ya wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa tiketi ya CCM akihutubia Jimbo la Arumeru. Baadhi ya wanachama wa CCM wakimkabidhi zawadi katika mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu .
Baadhi ya wanachama wa CCM wakimkabidhi zawadi katika mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu .Anjela Kairuki mmoja wa wajumbe wa kamati ya kampeni ya taifa akizungumza katika mkutano wa mgombea mwenza, Anjela Kairuki mmoja wa wajumbe wa kamati ya kampeni ya taifa akizungumza katika mkutano wa mgombea mwenza



Burudani kwa wananchi na mgeni rasmi katika mkutano wa hadhara moshi Mjini. Burudani kwa wananchi na mgeni rasmi katika mkutano wa hadhara moshi Mjini.


Baadhi ya wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa tiketi ya CCM akihutubia jimbo la Hai. Baadhi ya wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa tiketi ya CCM akihutubia jimbo la Hai.

Baadhi ya wanachama na wapenzi wa CCM wakiwa katika mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu Arusha Mjini. Baadhi ya wanachama na wapenzi wa CCM wakiwa katika mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu Arusha Mjini.

Baadhi ya wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa tiketi ya CCM akihutubia jimbo la Hai. Baadhi ya wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa tiketi ya CCM akihutubia jimbo la Hai.

Baadhi ya wanachama na wapenzi wa CCM wakiwa katika mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu Arusha Mjini. Baadhi ya wanachama na wapenzi wa CCM wakiwa katika mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu Arusha Mjini.
Baadhi ya wanachama na wapenzi wa CCM wakiwa katika mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu Arusha Mjini. Baadhi ya wanachama na wapenzi wa CCM wakiwa katika mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu Arusha Mjini.
Burudani kwa wananchi na mgeni rasmi katika mkutano wa hadhara moshi Mjini. Burudani kwa wananchi na mgeni rasmi katika mkutano wa hadhara moshi Mjini

  Na Joachim Mushi, Arusha

Tuesday, August 25, 2015

Magufuli Afunika Katavi

Copy the BEST Traders and Make Money (One Click) : http://ow.ly/KNICZ
Waziri Mkuu MizengO Pinda akimtambulisha Mgombea Urais wa chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Pombe Magufuli mbele ya umati wa watu waliofurika jioni ya leo kwenye uwanja wa Azimio mjini MPanda mkoani Katavi wakati wa muendelezo wa kampeni za chama hicho mkoani humo leo.Chama cha CCM kimezindua kampeni zake jana katika viwanja vya Jangwani jijini Dar na kuhudhuriwa na maelfu ya wanachama na wakereketwa wa chama hicho cha CCM
Wananchi wakishangilia wakati Waziri Mkuu Pinda alipokuwa akimnadi Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM,John Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Azimio mjini Mpanda, mkoani Katavi
Sehemu ya umati wa watu waliokuwa wamefurika leo katika uwanja wa Azimio mjini MPanda wakimsikiliza kwa makini Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jonh Pombe Magufuli kupitia chama cha CCM,mkoani Katavi.
Waziri Mkuu Pinda akimuelekeza jambo Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipokwenda kuwahutubia wananchi wa Mpanda mjini kwenye kutano wa kampeni mkoani Katavi.
Sehemu ya umati wa Wananchi wa kata ya Mishamo,wakimsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni,wilayani Mpanda mkoani Katavi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimtambulisha Mgombea urais wa Tanzania kupitia
CCM,John Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni katika kata ya Mishamo, wilayani Mpanda mkoani Katavi.
Mmoja wa wananchi akimshangilia Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia katika kijiji cha Mpandandogo,mkoani Katavi
Sehemu ya Wananchi wa kata ya Mishamo,wakishangilia wakati Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwasili katika mkutano wa kampeni kwenye kata yaMishamo,wilayani Mpanda mkoani Katavi.
Sehemu ya umati wa Wananchi wa kata ya Mishamo,wakimsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni,wilayani Mpanda mkoani Katavi.
Wafuasi na wanachama cha CCM wakifurahia mkutano wa kampeni wa mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli jioni ya leo katika uwanja wa Azimio mjini Mpanda mkoani Katavi.PICHA NA MICHUZI JR-KATAVI

Monday, August 24, 2015

94 Wahitimu Elimu ya Msingi Shinning School Songwe Mbeya.



Wahitimu wa elimu ya msingi katika shule ya kimataifa ya Shinning School  Songwe Mbeya wakiwa katika maandamano ikiwa ni sehemu ya kufurahia tukio hilo mwishoni mwa wiki mkoani hapa 



MKurugenzi Mtendaji wa shule ya kimataifa ya Shinning School iliyopo nje kidogo ya mji wa mbeya eneo la songwe kiwandani Amani Kajuna ambaye pia ni Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Mbeya akizungumza katika hafla hiyo.


Wanafunzi waliohitimu elimu ya msingi  2015  shule ya kimataifa ya Shinning School  wakionesha ushahidi  wa cheti chake mara baada ya kutunukiwa na uongozi wa shule hiyo katika mahafali hayo ambayo yamefanyika shuleni hapo.






Samia Suluhu Aanzia Kampeni Kilimanjaro

[caption id="attachment_60986" align="aligncenter" width="620"]Mgombea mwenza wa nafasi ya uraisi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu (katikati) akiwatambulisha wagombea ubunge wa majimbo ya Same Mashariki (Anne Kilango-kulia) na Magharibi (David Matayo) Mgombea mwenza wa nafasi ya uraisi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu (katikati) akiwatambulisha wagombea ubunge wa majimbo ya Same Mashariki (Anne Kilango-kulia) na Magharibi (David Matayo)[/caption] [caption id="attachment_60984" align="aligncenter" width="800"]David Matayo Mgombea Ubunge wa Jimbo la Same Magharibi. David Matayo Mgombea Ubunge wa Jimbo la Same Magharibi.[/caption] [caption id="attachment_60985" align="aligncenter" width="710"]Anjela Kailuki Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake Tanzania na Kamada wa Vijana wa Wilaya ya Same. Anjela Kailuki Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake Tanzania na Kamada wa Vijana wa Wilaya ya Same.[/caption] [caption id="attachment_60982" align="aligncenter" width="800"]Baadhi ya wafuasi wa CCM wakimpokea Bi. Suluhu. Baadhi ya wafuasi wa CCM wakimpokea Bi. Suluhu.[/caption] Joachim Mushi, Same MGOMBEA mwenza nafasi ya uraisi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu ameanza rasmi kampeni za kuomba ridhaa ya chama chake kupewa ridhaa na wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro ya kuongoza tena nchi. Samia ameanza ziara rasmi katika Mkoa wa Kilimanjaro Wilaya ya Same na kufanya mikutano ya hadhara katika Kata ya Hedari na baadaye wilayani Mwanga. Bi. Samia alilazimika kutembelea kituo cha Afya cha Hedaru na kuwasalimia wagonjwa na akinamama waliokuwa wakihudumiwa katika kituo hicho. Akihutubia katika mkutano wa Hedaru alisema anajua kero ya maji katika vijiji vya eneo hilo na tayari Serikali ya CCM imeanza kuifanyia kazi na kabla ya 2016/7 watakuwa wamepata maji kutoka eneo la nyumba ya mungu. Alisema ilani ya CCM imepanga kutoka shilingi milioni 50 kwa kila kijiji nchini hivyo kuwaomba wakichagu chama hicho. Alisema anatambua kero ya migogoro ya wafugaji na wakulima maeneo hayo hivyo wakipita yeye pamoja Mgombea Urais Dk. John Pombe Magufuli watahakikisha kero hiyobinamalizika kwa kupima ardhi ya eneo hilo ili kuonesha mipaka kuepuka migogoro. [caption id="attachment_60979" align="aligncenter" width="800"]Mgombea Mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu akipokelewa katika Kituo cha Afya Hedaru kabla ya kuhutubia wananchi. Mgombea Mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu akipokelewa katika Kituo cha Afya Hedaru kabla ya kuhutubia wananchi.[/caption] [caption id="attachment_60980" align="aligncenter" width="800"]Mgombea Mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu akiwa katika Kituo cha Afya Hedaru kabla ya kuhutubia wananchi. Mgombea Mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu akiwa katika Kituo cha Afya Hedaru kabla ya kuhutubia wananchi.[/caption] [caption id="attachment_60981" align="aligncenter" width="800"]Baadhi ya akina mama wakipata huduma katika kituo cha Afya cha Hedarua. Baadhi ya akina mama wakipata huduma katika kituo cha Afya cha Hedarua.[/caption] [caption id="attachment_60975" align="aligncenter" width="800"]Baadhi ya wafuasi wa CCM wakimpokea Bi. Suluhu ofisi za CCM Mkoa Kilimanjaro. Baadhi ya wafuasi wa CCM wakimpokea Bi. Suluhu ofisi za CCM Mkoa Kilimanjaro.[/caption] [caption id="attachment_60973" align="aligncenter" width="800"]Mmoja wa Vijana wa Umoja wa Vijana wa CCM, akimvisha skafu Bi. Suluhu ofisi za CCM Mkoa Kilimanjaro. Mmoja wa Vijana wa Umoja wa Vijana wa CCM, akimvisha skafu Bi. Suluhu ofisi za CCM Mkoa Kilimanjaro.[/caption] [caption id="attachment_60976" align="aligncenter" width="800"]Msafara wa Bi. Samia Suluhu ukielekea Hedaru. Msafara wa Bi. Samia Suluhu ukielekea Hedaru.[/caption] Alisema kwa wakazi wa Jimbo la Same Mashariki anatambua kero ya barabara ya Mkomazi hivyo wakipata ridhaa watahakikisha kuwa barabara ya mkomazi inakamilika. Alisema ilani mpya ya CCM imepanga kujenga majosho na kutoa madawa ya mifugo kwa wafugaji ili nao waweze kunufaika na fursha kama ilivyo kwa wafugaji. Samia katika msafara wake ameongozana na Amina Makilagi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa CCM, Anjela Kailuki Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake Tanzania na Kamada wa Vijana wa Wilaya ya Same, Bi. Ummy Mwalimu Mjumbe wa Kamati ya kampeni ya Kitaifa na viongozi wengine wa Chama wa Wilaya na Mkoa wa Kilimanjaro.

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...