![]() |
| Waombolezaji wakiwa wamebeba mwili wa aliyekuwa mpiga picha Mwandamizi wa gazeti la Habari Leo, Athuman Hamisi leo kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. |
![]() |
| Rais mstaafu Jakaya Kikwete akitoa pole kwa wanafamilia wa aliyekuwa mpiga picha Mwandamizi wa gazeti la Habari Leo, Athuman Hamisi leo kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. |
![]() |
| Mazishi ya aliyekuwa mpiga picha Mwandamizi wa gazeti la Habari Leo, Athuman Hamisi leo kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. |
![]() |
| Baadhi ya wanafamilia ya aliyekuwa mpiga picha Mwandamizi wa gazeti la Habari Leo, Athuman Hamis akiweka udongo katika kaburi kwenye mazishi hayo. |
![]() |
| Baadhi ya waombolezaji wakiweka udongo kwenye kaburi la aliyekuwa mpiga picha Mwandamizi wa gazeti la Habari Leo, Athuman Hamis akiweka udongo katika kaburi kwenye mazishi hayo. |
![]() |
| Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Dkt. Jim James Yonazi akizungumza kutoa salamu mara baada ya mazishi ya hayo. |










No comments:
Post a Comment