BWANA HARUSI MTARAJIWA NDUGU PATRICK MWAIPUNGU NA BIBI HARUSI MTARAJIWA BI. ROSEMARY RWECHUNGURA NYUMBANI KWAO BI HARUSI MTARAJIWA KWAMOROMBO JIJINI ARUSHA

Bw. Harusi mtarajiwa Patrick Mwaipungu akifurahi baada ya kumvisha pete mchumba wake Rosemary Rwechungura Kwamorombo Arusha.

Wajomba wa Bw. harusi mtarajiwa ndg Patrick wakiwasili nyumbani kwa wakwe zao watarajiwa
Kwamorombo Arusha.

Mapokezi

Ibada ikiendelea

Ndugu upande wa bwana harusi mtarajiwa

Bwana harusi mtarajiwa akiwa na mama yake mdogo wakifuatilia kwa karibu

Mshenga wa bwana harusi na ndugu wa bwana harusi Mwl Swai akizungumza na msemaji wa familia ya bibi harusi mtarajiwa Rosemary

Mshenga Mwl Swai akiweka mambo sawa na bwana harusi mtarajiwa

Baba na Mama wa bi harusi mtarajiwa Rwechungura

Mjomba wa bwana harusi Mtarajiwa ndg Denis akitoa utambulisho wa wageni waliofuatana nao.

Mshenga akikabidhi posa akisindikizwa na mjomba wa bwana harusi mtarajiwa.
Bi harusi mtarajiwa akikaribishwa ukumbini.
![]() |
Bwana na bibi harusi watarajiwa |

Bw. Patrick akikamilisha zoezi la pete
![]() |
Bw. Patrick akimvisha Pete mchumba wake Rosemary. |

Wakipongezana

Hongera sana
Wakipata chakula kilichoandaliwa kwa mapishi ya kabila la Wahaya

Mshenga akishukuru kwa zoezi zima kukamilika

MC Madam Happy akitoa shukrani kwa wageni waalikwa
Msemaji wa familia ya Mzee Rwechungura akitoa shukrani

No comments:
Post a Comment