![]() |
| Wagombea nafasi ya udiwani kupitia CCM Jimbo la Tabora Kaskazini-Uyui wakiwa katika mkutano wa hadhara jimboni humo. |
![]() |
| Mgombea ubunge wa Jimbo la Urambo Magharibi, Magreth Sitta akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Jimboni humo Mkoa wa Tabora leo. |
![]() |
| Baadhi ya waangalizi wa uchaguzi wenye vizibau wakiwa katika moja ya mikutano ya kampeni za CCM leo. |
![]() |
| Kundi la wasanii wa Bongo Movie makada wa CCM wakiwaburudisha wananchi katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM Jimbo la Urambo Mashariki Wilaya ya Kaliua leo. |
![]() |
| Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Tabora Kaskazini-Uyui, Said Nkumba akiwa meza kuu katika mkutano wa kampeni wa CCM leo katika Kata ya Maboma. |













No comments:
Post a Comment