![]() |
| Baadhi ya viongozi na wagombea wa nafasi za Udiwani Kupitia Chadema na Ukawa. |
![]() |
| Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini ,Philemoni Ndesamburo(kushoto) akiteta jambo na mgombea Ubunge katika jimbo hilo ,Jafary Michael kupitia Chadema na UKAWA wakati wa uzinduzi wa kampeni mjini Moshi |
![]() |
| Umati wa wakazi wa mji wa Moshi waliofika katika mkutano huo wa Uzinduzi wa Kampeni. |
![]() |
| Mbunge wa Viti maalumu Chadema ,Lucy Owenya akizungumza katika mkutano huo. |
![]() |
| Meneja wa kampeni wa mgombea ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Raymond Mboya akisalimia katika mkutano huo. |
![]() |
| Katibu wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro,Basil Lema akitoa salamu za chama katika mkutano huo. |
![]() |
| Umati wa wakazi wa Moshi katika mkutano huo. |
![]() |
| Mbunge wa jimbo la Moshi mjini aliyemaliza muda wake,Philemoni Ndesamburo akizungumza katika mkutano huo. |
![]() |
| Mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Jafary Michael akizungumza katika mkutano huo. |
![]() |
| Mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini ,Jafary Michael akiomba kura mbele ya wapiga kura wakati wa uzunduzi wa kampeni katika jimbo la Moshi mjini. |

















No comments:
Post a Comment