![]() |
| Maharusi Bw. James W. Mwangwa na mkewe Bi. Mary C. Kimbi wakiwa katika picha na baadhi ya ndugu wa karibu. |
![]() |
| Meza ya wazazi wa Bi. Harusi Mary C. Kimbi wakifuatilia matukio katika sherehe hiyo. |
![]() |
| Bwana Harusi James W. Mwangwa (kulia) akimwangalia babayake akiandaa ndafu kwa ajili ya kulishana maharusi na wazazi wa maharusi. |
![]() |
| Meza ya wazazi na ndugu wa karibu wa biharusi Mary C. Kimbi. |
![]() |
| Bi. Harusi Mary C. Kimbi (katikati) akimlisha kipande cha ndafu mamamkwe. Kushoto ni mumewe akiwa na babayake wakishuhudia tukio hilo. |
![]() |
| Wapambe wa maharusi wakiwa katika pozi ukumbini. |
![]() |
| Burudani ukumbini....! |
![]() |
| Ndugu na jamaa wa karibu wakikabidhi zawadi zao kwa maharusi wakati wa pongezi. |
![]() |
| Zawadi kwa maharusi. |
![]() |
| Ndugu jamaa na marafiki wakiwa ukumbini. |
![]() |
| Ndugu jamaa na marafiki wakifuatilia matukio katika hafla hiyo. |
![]() |
| Ndugu jamaa na marafiki wakifuatilia matukio katika hafla hiyo. |
![]() |
| Ndugu jamaa na marafiki wakifuatilia matukio katika hafla hiyo. |
![]() |
| Makundi mbalimbali ya Ndugu jamaa na marafiki yakipata picha mara baada ya kutoa zawadi zao kwa maharusi. |
![]() |
| Wa kwanza kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi, Oscar Munishi akimsikiliza MC wa shughuli hiyo (aliyeshika kipaza sauti) alipokuwa akitoa utaratibu ukumbini. |
![]() |
| Mama wa bwana harusi akizawadiwa na ndugu jamaa na marafiki ukumbini. |
![]() |
| Ndugu wa karibu wa bwana harusi. |
![]() |
| Wazazi wa bwana harusi wakizawadiwa na ndugu jamaa na marafiki ukumbini. |
![]() |
| Shughuli ikiendeles...! |
![]() |
| Kamati ya maandalizi ya sherehe hiyo ikicheza na maharusi wao mara baada ya kutoa zawadi. |
![]() |
| Wageni waalikwa, ndugu, jamaa na marafiki wakiserebuka ukumbini. |






















No comments:
Post a Comment