HONGERA BEATRICE SONGOMA
KWA KUPATA KIPAIMARA
NA BAADAE SHEREHE KUFANYIKA NYUMBANI KWA BABU NA BIBI YAKE MBEZI TEMBONI DAR ES SALAAM
![]() |
| BEATRECE SONGOMA |
![]() |
| WAKIINGIA UKUMBINI WATOTO WALIOMSINDIKIZA BEATRECE |
![]() |
| PICHA JUU NA CHINI NI BEATRICE AKIWA PAMOJA NA MPAMBE WAKE ROSE |
![]() |
| MUANDAAJI WA BLOGU HII AKIWA PAMOJA NA WAALIKWA KATIKA HAFLA HII YA KUMPONGEZA BEATRICE |
![]() |
| BEATRISE AKIWA NA MPANBE WAKE WAKIJARIBU KUIWEKA SAWA TAYARI KWA KUIFUNGUA |
![]() |
| BEATRICE AKIIFUNGUA |
![]() |
| WAALIKWA WAKIMPONGEZA BEATRICE KWA KUNONGANISHA GLASI |
![]() |
| KUTUNZA ILIRUHUSIWA |
![]() |
| KWAITO KABLA YA KUKATA KEKI |
![]() |
| BEATRICE AKIMLISHA MAMA YAKE MZAZI (PEMBENI KUSHOTO NI BABA YAKE MR SONGOMA NA NYUMA NI MJOMBA NA SHANGAZI WA BEATRICE) |
![]() |
| MAANJUMATI |
TUNASHUKURU SANA KWA MR & MRS SONGOMA KWA KUTUPA NAFASI YA KUSHIRIKI PAMOJA NAO KATIKA HAFLA HII YA BINTI YAO BEATRICE. PIA WADAU WETU WOTE WANAOTEMBELEA MTANDAO HUU. KARIBUNI SANA.



















No comments:
Post a Comment