Mr Na Mrs Mujuni Makubo wakiwa katika pozi mara baada ya kuingia ukumbini katika sherehe fuppi ya Ndoa yao iliyofanyika Katika Ukumbi wa Mlimani City Desemba Mosi 2012.
Bibi Na Babu yake Mjuni Makubo, Mama Leoncia Lukaza na Justus Kato Lukaza (wazazi wa baba Mjuni Mzee Makubo) wakitoa neno kwa wajukuu zao Dorothea na Mjuni Makubo katika hafla ya harusi yao iliyofanyika Desemba Mosi 2012 katika Ukumbi wa Mlimani City.

Hii ndio Kamati Nzima ya Maandalizi ya Sherehe ya Harusi ya Mjuni na Dorothea Makubo iliyofanyika Desemba Mosi 2012 katika Ukumbi wa Mlimani City.
Baba Mzazi na Mama Wa Bwana Harusi Mh Mjuni Makubo wakitoa nasaha kwa watoto wao mara baada ya kufunga ndoa takatifu na sherehe fupi kufanyika katika ukumbi wa Mlimani City Desemba Mosi 2012.
Wazazi wa Bibi Harusi wakitoa Nasaha kwa Watoto wao mara baada ya kufunga ndoa takatifu na sherehe kufanyika katika ukumbi wa Mlimani City Desemba Mosi 2012.
Kwa Mila za Kihaya Mwanaume anapooa Wazazi wake umkabidhi Mkuki Kwa ajili ya Ulinzi na Sio Kumdhuru na Kumpiga Mkewe.
Mzee Makubo (Baba Mzazi ) wa Bwana Harusi Mjuni Makubo Akimvalisha Kanzu ikiwa kama ishara na Mila za kihaya kwamba Ameshakuwa na anaweza Kuchangia katika Vikao vya Watu wazima
Bwana na Bibi Harusi Mjuni Na Dorothea Makubo wwakisubiri kukata keki tayari kwa kulishana ikiwa ni ishara ya Upendo katika Ndoa yao.
Zawadi kutoka Kwa ndugu jamaa na marafiki.
No comments:
Post a Comment