Tuesday, October 27, 2015

Utangazaji wa Matokeo ya Nafasi ya Urais Uchaguzi Mkuu...!

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu, Damian Lubuva (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari na waangalizi wa kimataifa wakati akitangaza matokeo ya awali ya urais Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhan Kailima

 Waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa wakiwa kwenye mkutano huo wa kutangazwa matokeo ya awali.

 Jaji Lubuva akijiandaa kutangaza matokeo hayo ya awali.
 Maofisa wa NEC wakiwa kwenye mkutano huo.
 Wadau wa siasa wakiwa kwenye mkutano huo.

Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.

Monday, October 26, 2015

Matokeo ya Awali Kama Yalivyo Bandikwa na Wasimamizi Wasaidizi Katika Vituo Anuai Dar

Matokeo ya Awali Kama Yalivyo Bandikwa na Wasimamizi Wasaidizi Katika Vituo Anuai jijini Dar es Salaam...hata hivyo bado katika vituo vingine wahusika wanaendelea kuhesabu ili kukamilisha zoezi hilo kabla ya kuanza kujumlisha matokeo.

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...