![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Profesa Ibrahim Gambari ambaye
ni Mjumbe maalum wa Rais wa Nigeria Chato mkoani Geita.
|
Karibu kwenye blogu yetu yenye habari, picha na matukio mbalimbali yakiwemo ya harusi na mitindo. Kwa kuwa ni blogu ya jamii tunakaribisha maoni kutoka kwako. Tutumie habari na picha za harusi, mitindo na maelezo yake au maoni kupitia; mushijoa@gmail.com / hilder_mwaipopo@yahoo.com au Simu;- 0717030066/ 0756469470.
Wednesday, January 11, 2017
Rais Magufuli Afanya Mazungumzo na Mjumbe wa Rais wa Nigeria
TTCL YAKANUSHA TAARIFA YA GAZETI LA THE EAST AFRICAN
![]() |
| Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Waziri W. Kindamba. |
TAARIFA KWA UMMA
KAMPUNI YA SIMU TANZANIA TTCL, INAPENDA KUUJULILISHA UMMA KUWA,TAARIFA ILIYOCHAPISHWA KATIKA UKURASA WA MBELE WA GAZETI LA THE EAST AFRICAN TOLEO NAMBA 1158 LA TAREHE 07-13 JANUARI 2017 KUHUSU TTCL KUONGEZEWA MUDA WA KUJIUNGA NA SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM SIO SAHIHI. TTCL KAMA ZILIVYO KAMPUNI NYINGINE ZA MAWASILIANO,
INAWAJIBIKA KUTEKELEZA SHERIA NA MAELEKEZO YA SERIKALI PASIPO KISINGIZIO CHOCHOTE NA IMEKUWA IKIFANYA HIVYO KILA MARA KUNAPOKUWA NA MAELEKEZO YANAYOHITAJI UTEKELEZAJI.
TAARIFA SAHIHI KUTOKA KWETU NI KUWA, TTCL INATEKELEZA KIKAMILIFU SHERIA INAYOTUTAKA KUJIUNGA NA SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM NA TAYARI TUMESHAWASILIANA NA MAMLAKA HUSIKA NA KUCHUKUA HATUA KADHAA ILI KUTEKELEZA KIKAMILIFU TAKWA HILI LA KISHERIA. PAMOJA NA TAARIFA HII KWA UMMA,
TUNAENDELEA KUWASILIANA NA UONGOZI WA GAZETI HUSIKA ILI KUREKEBISHA KASORO ZILIZOJITOKEZA KATIKA TAARIFA YA GAZETI LAO TOLEO TAJWA HAPO JUU NA KUANDIKA KWA USAHIHI TAARIFA HII KWA KUZINGATIA MISINGI YA TAALUMA YA UANDISHI WA HABARI.
IMETOLEWA NA,
WAZIRI W. KINDAMBA KAIMU AFISA MTENDAJI MKUU- TTCL 10 JANUARI, 2017
Tuesday, January 10, 2017
KARIMJEE JIVANJEE FOUNDATION REWARDS YOUNG SCIENTISTS 2016
Young Scientists Tanzania (YST) Executive Director, Dr Gozbert Kamugisha
Dr Kamugisha with scholarships
Diana Sosoka, Nadhra Mresa and their teacher Mr Rashid Namila.
THE Karimjee Jivanjee Foundation (KJF) has rewarded Diana Sosoka and Nadhra Mresa from Mtwara Girls Secondary School for being overall winners of the Young Scientists Tanzania (YST) Awards in 2016. Speaking at a press event to send off the winners to Dublin, Ireland, the KJF Team said the winners would receive scholarship from the foundation to study at any local university when they complete their high school education.
They both take a combination of Chemistry, Biology and Geography and aspire to be medical doctors. The students are travelling to Dublin today to attend the BT Young Scientists and Technology Exhibition, an Irish annual school students’ science competition, which aims at encouraging interest in science in primary, and secondary schools.
Speaking at the event, the students thanked their school teacher, Mr. Rashid Namila their Biology teacher, whom they said has been a fundamental to their success. They also thanked the YST, led by Dr. Gozbrt Kamugisha, and the KJF for making their dreams come true.
“Our innovation was based on a locally made incubator to help the women around our school to raise chicken after seeing them come to our school every day to seek for leftovers sue to the poverty situation that has engulfed them,” they said, adding that their technology has inspired various people around Mtwara and across the country to go and learn.
Ms. Eliavera Timoth, the Foundation’s Deputy Marketing Manager, speaking on behalf of KJF Manager Ms. Devota Rubama, said KJF was a non-governmental organization that was registered in 2009 and commenced its operation in 2010 with commitment to support the Tanzanian community, specifically improving education sector.
“The education sector is the core charity notably by providing scholarships to young Tanzanians to be able to accomplish their studies at university level,” she was quoted as saying, adding that the scholarships were provided to students under the category of science in an effort to join hands with to government initiatives, targeting on encouraging students to pursue science subjects.
“We are eager to ecourage and support Tanzania young students to be able to develop various innovative skills through science for the betterment of the nation,” she said.
Speaking of the YST scholarships, Ms. Eliavera said since 2012 the Foundation has provided 17 scholarships to students in the categories of overall winners and winners in special school in need.
“Every year KJF provide 4 schholarships to winner of YST awards to study at university level. We have already provided scholarships to students from Kibosho Secondary School (2012 – 3 scholarships overall winners); Ilongelo Secondary School of Singida (2013 – 2 overall winners scholarships); and Fidel Castro –Pemba (2013 – 2 special school in need scholarships),” Ms. Eliavera said.
Other scholarships were Lumumba Secondary School – Zanzibar (2014 – 2 overall winners); Ngongo Secondary School – Lindi (2014 – 2 special school in need scholarships); Mzumbe Secondary School – Morogoro (2015 – 2 overall winners); Nasa Secondary School – Simiyu (2015 – 2 special school in need); Mtwara Girls (2016 – 2 overall winners); and Binza Secondary School – Simiyu (2016 – 2 special school in need scholarships).
However, Ms. Eliavera said, KJF is planning to launch a dual Masters’ degree in African Cinservation at the University of Glasgow, Scotland and Nelson Mandela University – Afican Institution of Science and Technology in Arusha. The programme, according to her, is for two years and KJF will provide three scholarships for students to study two terms at Glasgow University and eight terms at Nelson Mandela University.
“The Foundation has been giving scholarships to Doctors to graduate for a Masters’ degree programme in Paediatric Oncology at Muhimbili University of Health and Alllied Sciences (Muhas), two doctors graduated in 2015 and one in 2016,” Ms. Eliavera said.
The Honorary Chairman of Karimjee Jivanjee Group of Companies in Tanzania, Hatim Karimjee said: “We are very honoured to support the Young Scientists Tanzania Award because we believe that education is very important to the future development of Tanzania, and also because science education in particular can open opportunities for higher level career development.”
KJF is the primary vehicle for the Karimjee family’s charitable work. The mission of the Foundation is to invest in education as a means to enhance the economic development of Tanzania. At present, many young Tanzanians continue to benefit from scholarships from KJF, which enable them to follow their dreams and to make a greater contribution to Tanzania as a result of their education.
In addition to these scholarships, the Foundation also supports Read International and others; works with Wonder Workshop and is working to boost the capacity for management of pediatric oncology in Tanzania.
Hatim Karimjee said, although KJF’s main focus at the moment is funding educational institutions to improve education capacity, the Karimjee family established several charitable trusts in the 1950’s before independence.
“We have built many schools, hospitals, dispensaries, mosques and community centres. The most famous of our donations is the Karimjee Hall. We built and donated this building to the Dar es Salaam Municipal Council in 1957 as a Town Hall. It was later adapted to become the official seat of Parliament. Independence was declared in Karimjee Hall on 9th December 1961,” he said.
Other important donations by the Karimjee family have been the Usagara Secondary School in Tanga (Formerly Karimjee Secondary School), the Karimjee Clin in Mnazi Mmoja – Dar es Salaam, the old Karimjee Hospital in Zanzibar and the recent donation of 100 desks to Mkwakwani Secondary School in Tanga, a donation that was made to support the Government’s effort to offset the existing countrywide shortage of desks in primary and secondary schools.
The Karimjee Jivanjee Foundation is funded by donations from Toyota Tanzania, one of Tanzania’s biggest and compliant taxpayers, which is celebrating its 50th anniversary as the sole and authorized Toyota distributor in Tanzania since 1965.
(Prepared by www.maendeleovijijini.blogspot.com)
Monday, January 9, 2017
Rais Magufuli atembelea shule aliyosoma utotoni
TTCL yadhamini michuano ya vyuo Soka la Ufukweni
| Mkuu wa Biashara Kanda ya Dar es salaam wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL), Jane Mwakalebela (katikati) akimkabidhi kiasi cha fedha shilingi laki nne (400,000/-) pamoja na laini za TTCL za 4G LTE zenye muda wa maongezi wa simu na intaneti (5GB) kwa muda wa mwezi mmoja nahodha wa timu ya Chuo cha Ardhi (kulia) baada ya kuibuka washindi wa pili wa Mashindano ya Soka la Ufukweni 'TTCL Inter College Beach Soccer' yaliyoshirikisha vyuo mbalimbali vya jijini Dar es Salaam chini ya uratibu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF). Mashindano hayo yalifanyika Ufukwe wa Coco Beach jana. Kulia ni Bw. Dimo Dibwe muandaaji wa mashindano hayo. |
| Baadhi ya waamuzi wa Mashindano ya Soka la Ufukweni 'TTCL Inter College Beach Soccer' yaliyoshirikisha vyuo mbalimbali vya jijini Dar es Salaam wakijadiliana jambo kabla ya mechi kuendelea. |
| Mapambano mbalimbali ya mechi za Mashindano ya Soka la Ufukweni 'TTCL Inter College Beach Soccer' yakiendelea. |
| Mapambano mbalimbali ya mechi za Mashindano ya Soka la Ufukweni 'TTCL Inter College Beach Soccer' yakiendelea. |
| Mapambano mbalimbali ya mechi za Mashindano ya Soka la Ufukweni 'TTCL Inter College Beach Soccer' yakiendelea. |
| Mapambano mbalimbali ya mechi za Mashindano ya Soka la Ufukweni 'TTCL Inter College Beach Soccer' yakiendelea. |
| Wakati mashindano hayo yakiendelea wanafunzi wa vyuo waliendelea kujishindia zawadi mbalimbali. Kushoto ni Ofisa Masoko wa TTCL, Eric Muganda akimkabidhi vocha ya muda wa maongezi wa thamani ya shs10,000/- baada kushinda moja ya michezo iliyoambatana na zawadi kwa wanafunzi waliokuwa wakishiriki mashindano ya soka la ufukweni. |
| Baadhi ya timu zilizoshiriki Mashindano ya vyuo Soka la Ufukweni 'TTCL Inter College Beach Soccer' zikishangilia baada ya kushinda mechi za awali. |
| Mbwembwe za mabingwa...! Mabingwa wa Mashindano ya Vyuo Soka la Ufukweni 'TTCL Inter College Beach Soccer' wakiwa katika moja ya pozi mara baada ya kutangazwa kuwa mabingwa. |
| Kikosi cha Timu ya Chuo cha Ardhi ambao waliibuka washindi wa pili katika Mashindano ya Soka la Ufukweni 'TTCL Inter College Beach Soccer' yaliyoshirikisha vyuo mbalimbali vya jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa TTCL ambao ni wadhamini wa mashindano hayo. |
Sunday, December 25, 2016
TTCL yanogesha sherehe za Chrismass Vituo vya Watoto Yatima Dar
![]() |
| Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (kushoto) akimkabidhi mmoja wa watoto wa kituo cha yatima 'Yatima Group Trust Fund Mbagala Chamazi mfuko wa unga, . TTCL imekabidhi msaada wa bidhaa mbalimbali vikiwemo mchele, sukari, mafuta ya kupikia, soda, maji ya kunywa na mbuzi kwa ajili ya sherehe za Siku Kuu ya Chrismass. Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Kituo cha Yatima Group Trust Fund Mbagala Chamazi. |
![]() |
| Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (wa pili kushoto) akimkabidhi mbuzi Mkurugenzi Msaidizi wa Kituo cha Yatima Group Trust Fund Mbagala Chamazi. TTCL imekabidhi msaada wa bidhaa mbalimbali vikiwemo mchele, sukari, mafuta ya kupikia, soda, maji ya kunywa na mbuzi kwa ajili ya sherehe za Siku Kuu ya Chrismass. |
![]() |
| Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (wa tatu kulia) akimkabidhi mmoja wa watoto wa kituo cha watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi cha Kimara SUCA maji ikiwa ni moja ya bidhaa zilizotolewa. TTCL imekabidhi msaada wa bidhaa mbalimbali vikiwemo mchele, sukari, mafuta ya kupikia, soda, maji ya kunywa na mbuzi kwa ajili ya sherehe za Siku Kuu ya Chrismass. |
![]() |
| Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (kushoto) akimkabidhi mfuko wa unga Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi cha Kimara SUCA, Evans Tegete ikiwa ni baadhi ya msaada uliotolewa na kampuni hiyo. TTCL imekabidhi msaada wa bidhaa mbalimbali vikiwemo mchele, sukari, mafuta ya kupikia, soda, maji ya kunywa na mbuzi kwa ajili ya sherehe za Siku Kuu ya Chrismass. |
![]() |
| Picha ya pamoja ya baadhi ya watoto kutoka vituo vyote vilivyosaidiwa na viongozi wao. |
![]() |
| Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (wa pili kushoto) akimkabidhi mbuzi mmoja wa watoto wa kituo cha watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi cha Kimara SUCA. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo hicho, Evans Tegete. |
![]() |
| Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (kushoto) akimkabidhi mmoja wa watoto wa kituo cha yatima 'Yatima Group Trust Fund Mbagala Chamazi sehemu ya msaada uliotolewa na kampuni ya TTCL kwa ajili ya sherehe za Siku Kuu ya Chrismass. |
![]() |
| Picha ya pamoja baada ya shughuli ya kukabidhi misaada hiyo. |
![]() |
| Baadhi ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu wakibeba sehemu ya misaada waliyokabidhiwa na TTCL. |
Saturday, November 26, 2016
RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI AONGOZA MAHAFALI YA CHUO KIKUU CHA KAMPALA JIJINI DAR ES SALAM
Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi akiwatunuku wahitimu wa kozi mbalimbali katika mahafali ya Chuo Kikuu cha Kampala cha jijini Dar es Salaam kwenye sherehe za mahafali.
Baadhi ya waadhiri wa chuo hicho wakiwa kwenye mahafali hayo.
Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi (kushoto) na mgeni rasmi katika mahafali ya Chuo Kikuu cha Kampala cha jijini Dar es Salaam akiteta jambo na Makamu Mkuu wa chuo hicho, Profesa Muhammad Ndaula katika mahafali hayo yaliyofanyika jana.
Baadhi ya wahitimu wa ngazi ya digree kozi ya afya wakila kiapo cha kuhitimu fani hiyo.
Sehemu ya wahitimu wakiwa katika mahafali hayo.
Sehemu ya wahitimu wakiwa katika mahafali hayo.
Sehemu ya wakufunzi na wahitimu wa Chuo Kikuu cha Kampala wakiwa kwenye mahafali.
Mahafali yakiendelea
| Msafara wa mahafali ukiongozwa na Rais msaafu wa Awamu ya Pili, Mwinyi mara baada ya sherehe za mahafali ya nne ya Chuo Kikuu cha Kampala (KIU) cha jijini Dar es Salaam.kumalizika. |
Na Mwandishi Wetu
RAIS mstaafu wa
Serikali ya Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amewataka wahitimu wa vyuo
vikuu nchini kuacha tabia ya kuchagua kazi za kufanya mara baada ya
kuhitimu elimu yao. Mwinyi alisema tabia hiyo imepitwa cha wakati
hasa katika dunia ya sasa yenye changamoto kubwa ya ajira.
Rais Mwinyi alitoa
kauli hiyo juzi wakati akizungumza na wahitimu wa kozi mbalimbali
kwenye sherehe za mahafali ya nne ya Chuo Kikuu cha Kampala (KIU)
cha jijini Dar es Salaam.
Alisema kitendo
cha baadhi ya wahitimu hasa wa vyuo vikuu kupendelea kuchagua kazi za kufanya
kimekuwa kikiwapotezea muda na fursa anuai, hivyo kuwataka kuacha tabia hiyo
ambayo kwa kipindi hiki imepitwa na wakati.
Alisema wahitimu
hawana budi kuanza kufanya kazi zozote zinazojitokeza mbele yao na kutumia
fursa hiyo kuelekea kwenye mafanikio kadri walivyojipangia katika
maisha yao.
"...Nawapongeza
wahitimu kwa hatua hii, sasa mnaingia katika maisha mapya na ya vitendo msiende
kuchagua kazi za kufanya, anza na kazi yoyote inayojitokeza mbele
yako kisha uitumie
kutimiza ndoto zako," alisema katika hotuba yake kwa wahitimu hao.
Aidha Rais huyo
mstaafu aliwataka wahitimu hao kuwa wachapakazi, wabunifu na kutumia
ipasavyo ujuzi na elimu waliopewa katika ngazi mbalimbali ili
kuweza kuisaidia
jamii na taifa kwa ujumla.
Alisema kuwa
Serikali ya Tanzania imejipanga kuhakikisha wanafunzi wote wenye sifa na
vigezo vya kujiunga na chuo wanapata nafasi hiyo bila vikwazo
kupitia
Bodi ya Mikopo ya
Elimu ya Juu nchini (HESLB).
Akihimiza matumizi
ya lugha ya Kiswahili hasa kufundisha programu katika vyuo vikuu, Mwinyi
alivitaka vyuo vikuu kuanza kufundisha programu za lugha hiyo ili
kuchochea matumizi
yake kama yanavyofanya mataifa mengine kwenye vyuo vyao iwemo China,
Urusi, USA, Iran na mengineyo.
Alisema Afrika
lazima iwe na lugha moja ya kuwaunganisha watu wake na lugha pekee inayozungumzwa
na mataifa mengi ya Afrika ni Kiswahili hivyo kuna kila sababu ya
kujivunia lugha hiyo na kuitumia ipasavyo. "...Naahidi katika
mahafali yajayo nitatoa hotuba yangu kwa lugha ya Kiswahili na salamu
zangu zote nitazitoa kwa kiswahili," alisema Mwinyi.
Awali akizungumza
katika mahafali hayo, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kampala (KIU),
Profesa Ndaula Muhammad alisema jumla ya wahitimu 1079 wamehitimu
masomo yao katika ngazi ya Shahada, Stashahada na Asatashahada katika
fani mbalimbali.
Subscribe to:
Posts (Atom)
SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.
Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...
-
Mke wa Ridhiwani Kikwete (aliyembeba mtoto) akipiga picha na mkwewe Rais Jakaya Kikwete (wa pili kushoto) katika hafla ya kumpongeza baada y...
-
Baadhi ya wanamuziki wa kundi la taarab la 5 Star wakiwa pichani. Na Mwandishi Wetu TAARIFA zilizotufikia muda mfupi uliopita zinasema ...
-
Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...




















