Tuesday, May 10, 2016

PSPF Yatoa Msaada Vifaa vya Shule kwa Wanafunzi Waishio Mazingira Magumu

Afisa Uhusiano wa PSPF, Bibi Coleta Mnyamani akiwaelimisha wanafunzi wa shule ya Msingi Nyansalwa iliyoko mkoani Geita kuhusiana na Mfuko wa Penseheni wa PSPF na lengo la kusaidia jamii katika hususan katika masuala ya elimu. Mabegi yenye vifaa vya kusomea yalitolewa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF kama msaada kwa wanafunzi waishio kwenye mazingira magumu wa shule ya Msingi Nyansalwa iliyopo Mkoani Geita.
Wanafunzi wa shule ya Msingi Igaka iliyopo Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza wakifurahia msaada uliotolewa na PSPF kwa wanafunzi waishio katika mazingira magumu shuleni hapo.
 Afisa Uhusiano wa PSPF, Bibi Coleta Mnyamani ,akiongea na kamati ya shule ya Msingi Igaka (ambao hawapo pichani) pamoja na wanafunzi kuhusiana na lengo la Mfuko wa Pensheni wa PSPF kusaidia jamii hasa kwenye nyanja ya elimu nchini.
Wanafunzi waishio katika mazingira magumu wa shule ya Msingi Igaka iliyopo Wilayani Sengerema wakipokea msaada wa mabegi yenye vifaa vya kusomea kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF.
Wanafunzi waishio katika mazingira magumu wa shule ya Msingi Igaka iliyopo Wilayani Sengerema wakipokea msaada wa mabegi yenye vifaa vya kusomea kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF.
Afisa Uendashaji wa PSPF Mkoa wa Geita, Bw. Noel Tuga, akiwapa maelezo wanafunzi waishio kwenye mazingira magumu wa shule ya msingi Nyansalwa namna ya kutumia vifaa vilivyopo kwenye mabegi PSPF iliyotoa msaada. Mabegi yenye vifaa vya kusomea yalitolewa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF kama msaada kwa wanafunzi waishio kwenye mazingira magumu wa shule ya Msingi Nyansalwa iliyopo Mkoani Geita.
Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Igaka, Bw. Jumanne Masumbuko, akitoa neno la shukrani kwa niaba ya wanafunzi wenzake kwa masaada wa mabegi ya shule yenye vifaa vya kusomea kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF.
Afisa Mfawidhi wa PSPF Mkoa wa Mwanza, Bw. Salim Salum, akitoa rai kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Igaka iliyopo Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza kusoma kwa bidii ili kuinua kiwango cha elimu na kuja kulitumikia Taifa katika siku za baadaye.




Monday, May 2, 2016

NSSF YADHAMINI SIKU YA MADANSA DUNIANI


Ofisa Mkuu Mwandamizi Idara ya Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Salim Kimaro, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya madansa duniani yaliyofanyika kwenye viwanja vya TCC Club jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki na kudhaminiwa na NSSF.  (Na Mpiga Picha Wetu)
 Ofisa Mwandamizi  Masoko na Uhusiano NSSF, Amina Mbaga, (kushoto) akimkabidhi fulana,  Jumanne Mnola alipotembelea banda la NSSF wakati wa uzinduzi wa siku ya madansa duniani iliyofanyika viwanja vya TCC Club jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na NSSF.
 Ofisa Mwandamizi  Masoko na Uhusiano NSSF, Amina Mbaga, (kushoto), akimkabidhi fulana mmoja wa wateja wao, Said Ally, alipotembelea banda lao wakati wa uzinduzi wa siku ya madansa duniani iliyofanyika kwenye viwanja vya TCC Club jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki na kudhaminiwa na NSSF.
 Ofisa Mwandamizi  Masoko na Uhusiano (Nssf), Amina Mbaga akigawa vipeperushi kwa baadhi ya wananchi waliotembelea banda lao.
 Ofisa Uhusiano wa NSSF, Faides Mdee, akigawa vipeperushi kwa baadhi ya wananchi waliotembelea banda lao katika uzinduzi wa siku ya madansa duniani uliofanyika kwenye viwanja vya TCC Club Chang’ombe jijini Dares Salaam, mwishoni mwa wiki. Uzinduzi huo ulidhaminiwa na NSSF.
 Wafanyakazi wa NSSF wakimkabidhi fulana mteja wao, Antela Salumu (katikati).
 Ofisa wa NSSF, Innocent Shao, (kulia) akiwaandikisha baadhi ya wanachama wapya waliojiunga na NSSF walipotembelea banda la NSSF katika uzinduzi wa siku ya madansa duniani iliyoadhimishwa kwenye viwanja vya TCC Club Chang’ombe na kudhaminiwa na NSSF.
Ofisa uandikishaji NSSF, Amina Kisawaga (kulia) akitoa maelezo kwa mteja alietembelea banda lao Fumbwe Juma, katika uzinduzi wa siku ya madansa duniani uliofanyika kwenye viwanja vya TCC Club Chang’ombe, Dar es Salaam na kudhaminiwa na NSSF.
Picha ya pamoja.

MBUNGE WA VUNJO ATEMBELEA BARABARA YA KILEMA NA KUJIONEA UHARIBIFU WA MVUA

Na Dixon Busagaga
Mbunge wa Jimbo la Vunjo ,James Mbatia akitizama barabara ya kuelekea Hospitali ya wilaya ,Kilema Hospital namna ambavyo imeharibika kutokana na Mvua zinazoendelea kunyesha.
Wanafunzi katika shule iliyo jirani na barabara hiyo wakitizama sehemu ya korongo lililopo katika barabara hiyo ambayo ni tegemeo kwa Chuo cha Ualimu Mandaka,Seminari ya Mtakatifu James ,shle za sekondari pamoja na msingi.
Baaadhi ya madreva wa pikipiki maarufu kama bodaboda wakipita katika barabara hiyo ambapo kwa sasa nauli ya kupandisha abiria kwenda Hospitali ya wilaya ya Moshi,Kilima imepanda kutoka kiasi cha sh 3000 hadi 6000 .
Moja ya Magari yanayotumia barabara hiyo likijaribu kupita katika barabar hiyo ambayo imeharibika vibaya kutokana na maji yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha.
Sehemu ya barabara hiyo likionekana korongo ambalo limeanza kumegwa na maji na kuhatarisha kukatika kwa mawasiliano katika baina ya vijiji 12 ambavyo wakazi wake wanatumia barabara hiyo.


MECKY SADICKY ATUNUKU VYETI WASHIRIKI KAMPENI SIKU 10 USAFI KINAPA

Washiriki wa zoezi la usafi katika Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Said Mecky Sadick huku wakionesha vyeti walivyotunukiwa baada ya kufanikisha zoezi hilo. Washiriki wa zoezi la usafi katika Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Said Mecky Sadick huku wakionesha vyeti walivyotunukiwa baada ya kufanikisha zoezi hilo.Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akiliongoza kundi la watu waliopanda Mlima Kilimanjaro kwa ajili ya kufanya usafi muda mfupi baada ya kurejea kutoka katika kilele cha mlima huo. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akiliongoza kundi la watu waliopanda Mlima Kilimanjaro kwa ajili ya kufanya usafi muda mfupi baada ya kurejea kutoka katika kilele cha mlima huo.Baadhi ya washiriki wa zoezi hilo. Baadhi ya washiriki wa zoezi hilo.Baadhi ya washiriki wa zoezi hilo. Baadhi ya washiriki wa zoezi hilo.Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Said Mecky Sadicky akizungumza na washiriki wa kampeni ya siku 10 ya kufanya usafi katika Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) muda mfupi mara baada ya kurejea. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Said Mecky Sadicky akizungumza na washiriki wa kampeni ya siku 10 ya kufanya usafi katika Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) muda mfupi mara baada ya kurejea.Baadhi ya Washiriki wa Kampeni ya siku 10 ya kufanya usafi katika Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro wakifuatilia hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Mecky Sadicky alipokuwa mgeni rasmi katika Hafla ya kutunuku vyeti kwa washiriki pamoja na wamiliki wa kampuni. Baadhi ya Washiriki wa Kampeni ya siku 10 ya kufanya usafi katika Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro wakifuatilia hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Mecky Sadicky alipokuwa mgeni rasmi katika Hafla ya kutunuku vyeti kwa washiriki pamoja na wamiliki wa kampuni.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Said Mecky Sadicky akitoa vyeti kwa wawakilishi wa Kampuni mbalimbali zilizosaidia katika kampeni ya siku 10 ya kufanya usafi katika Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA),Zoezi la utoaji Vyeti limefanyika katika lango la Marangu wakati wa hafla fupi ya kuwapokea washiriki wa zoezi hilo la usafi. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Said Mecky Sadicky akitoa vyeti kwa wawakilishi wa Kampuni mbalimbali zilizosaidia katika kampeni ya siku 10 ya kufanya usafi katika Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA),Zoezi la utoaji Vyeti limefanyika katika lango la Marangu wakati wa hafla fupi ya kuwapokea washiriki wa zoezi hilo la usafi.

Sunday, May 1, 2016

Baadhi ya Washindi wa Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari EJAT 2015

Meneja Uhusiano wa Benki ya NMB, Vicent Mnyanyika (kushoto) akitoa tuzo ya Umahiri wa Uandishi wa Habari za Uchumi na Biashara kwa mshindi wa tuzo hiyo kwa mwaka huu (Ejat).  Meneja Uhusiano wa Benki ya NMB, Vicent Mnyanyika (kushoto) akitoa tuzo ya Umahiri wa Uandishi wa Habari za Uchumi na Biashara kwa mshindi wa tuzo hiyo kwa mwaka huu (Ejat).


Meneja Uhusiano wa Benki ya NMB, Vicent Mnyanyika (kushoto) akitoa tuzo ya Umahiri wa Uandishi wa Habari za Uchumi na Biashara kwa mshindi wa tuzo hiyo kwa mwaka huu (Ejat).  Meneja Uhusiano wa Benki ya NMB, Vicent Mnyanyika (kushoto) akitoa tuzo ya Umahiri wa Uandishi wa Habari za Uchumi na Biashara kwa mshindi wa tuzo hiyo kwa mwaka huu (Ejat).


Meneja Uhusiano wa Benki ya NMB, Vicent Mnyanyika akimtaja mshindi wa tuzo ya Umahiri wa Uandishi wa Habari za Uchumi na Biashara kabla ya kumkabidhi zawadi mshindi wa tuzo hiyo kwa mwaka huu (Ejat). Meneja Uhusiano wa Benki ya NMB, Vicent Mnyanyika akimtaja mshindi wa tuzo ya Umahiri wa Uandishi wa Habari za Uchumi na Biashara kabla ya kumkabidhi zawadi mshindi wa tuzo hiyo kwa mwaka huu (Ejat).

Mkurugenzi Mtendaji wa HakiElimu, John Kalage (kushoto) akitoa tuzo ya Umahiri wa Uandishi wa Habari za Elimu kwa mshindi wa tuzo hiyo kwa mwaka huu, shirika hilo pia limetoa ufadhili wa masomo ya chuo ya thamani ya shilingi milioni tano kwa mshindi huyo. Mkurugenzi Mtendaji wa HakiElimu, John Kalage (kushoto) akitoa tuzo ya Umahiri wa Uandishi wa Habari za Elimu kwa mshindi wa tuzo hiyo kwa mwaka huu, shirika hilo pia limetoa ufadhili wa masomo ya chuo ya thamani ya shilingi milioni tano kwa mshindi huyo.


Mmoja wa majaji wa shindano la tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, Ndimara Tegambwage (kushoto) akikabidhi tuzo kwa mmoja wa washindi wa tuzo hizo zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mmoja wa majaji wa shindano la tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, Ndimara Tegambwage (kushoto) akikabidhi tuzo kwa mmoja wa washindi wa tuzo hizo zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.


Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy (kushoto) akikabidhi tuzo kwa mmoja wa washindi wa tuzo hizo zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy (kushoto) akikabidhi tuzo kwa mmoja wa washindi wa tuzo hizo zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Meza ya majaji wa shindano la tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, ikifuatilia hafla ya utoaji tuzo za umahiri wa uandishi wa habari zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Meza ya majaji wa shindano la tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, ikifuatilia hafla ya utoaji tuzo za umahiri wa uandishi wa habari zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Meza kuu ya mgeni rasmi katika hafla ya utoaji tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, ikifuatilia matukio ya utoaji tuzo za umahiri wa uandishi wa habari katika vipengele anuai zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Meza kuu ya mgeni rasmi katika hafla ya utoaji tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, ikifuatilia matukio ya utoaji tuzo za umahiri wa uandishi wa habari katika vipengele anuai zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Idara ya Habari nchini (Maelezo), Vicent Tiganya (kushoto) akitoa tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, kwa mmoja wa washindi wa mwaka huu, hafla ya tuzo hizo ilifanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Idara ya Habari nchini (Maelezo), Vicent Tiganya (kushoto) akitoa tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, kwa mmoja wa washindi wa mwaka huu, hafla ya tuzo hizo ilifanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.


Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Idara ya Habari nchini (Maelezo), Vicent Tiganya (kushoto) akikabidhi cheti cha ushiriki kwa mmoja wa washindani katika tuzo za umahiri wa uandishi wa habari zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Idara ya Habari nchini (Maelezo), Vicent Tiganya (kushoto) akikabidhi cheti cha ushiriki kwa mmoja wa washindani katika tuzo za umahiri wa uandishi wa habari zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.


Mkurugenzi Mtendaji wa HakiElimu, Jumma Dihule (kushoto) akitoa tuzo ya Umahiri wa Uandishi wa Habari za Elimu kwa mshindi wa tuzo hiyo kwa mwaka huu, shirika hilo pia limetoa ufadhili wa masomo ya chuo ya thamani ya shilingi milioni tano kwa mshindi huyo. Mkurugenzi Mtendaji wa HakiElimu, Jumma Dihule (kushoto) akitoa tuzo ya Umahiri wa Uandishi wa Habari za Elimu kwa mshindi wa tuzo hiyo kwa mwaka huu, shirika hilo pia limetoa ufadhili wa masomo ya chuo ya thamani ya shilingi milioni tano kwa mshindi huyo.

  Mmoja wa majaji wa shindano la tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, Jumma Dihule (kushoto) akikabidhi cheti cha ushiriki kwa mmoja wa washindani katika tuzo za umahiri wa uandishi wa habari zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.  IMG_0716
Meneja Uhusiano wa Benki ya NMB, Vicent Mnyanyika (kulia) akikabidhi cheti cha ushiriki kwa mmoja wa washindani katika tuzo za umahiri wa uandishi wa habari zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Sehemu ya wageni maalumu waalikwa katika hafla ya utoaji tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, wakifuatilia matukio ya utoaji tuzo za umahiri wa uandishi wa habari katika vipengele anuai zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Sehemu ya wageni maalumu waalikwa katika hafla ya utoaji tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, wakifuatilia matukio ya utoaji tuzo za umahiri wa uandishi wa habari katika vipengele anuai zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Sehemu ya wageni maalumu waalikwa katika hafla ya utoaji tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, wakifuatilia matukio ya utoaji tuzo za umahiri wa uandishi wa habari katika vipengele anuai zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Sehemu ya wageni maalumu waalikwa katika hafla ya utoaji tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, wakifuatilia matukio ya utoaji tuzo za umahiri wa uandishi wa habari katika vipengele anuai zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.


Mmoja wa majaji wa shindano la tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, Jesse Kwayu (kushoto) akikabidhi cheti cha ushiriki kwa mmoja wa washindani katika tuzo za umahiri wa uandishi wa habari zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mmoja wa majaji wa shindano la tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, Jesse Kwayu (kushoto) akikabidhi cheti cha ushiriki kwa mmoja wa washindani katika tuzo za umahiri wa uandishi wa habari zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Mmoja wa washindi wa shindano la tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015 (kulia) akikabidhiwa tuzo yake katika hafla hiyo iliyofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mmoja wa washindi wa shindano la tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015 (kulia) akikabidhiwa tuzo yake katika hafla hiyo iliyofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (Taswa), Egbet Mkoko (kushoto) akikabidhi tuzo ya Umahiri wa Uandishi wa Habari za Michezo na Utamaduni (Utangazaji/Redio)  kwa mshindi wa tuzo hiyo kwa mwaka huu. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (Taswa), Egbet Mkoko (kushoto) akikabidhi tuzo ya Umahiri wa Uandishi wa Habari za Michezo na Utamaduni (Utangazaji/Redio) kwa mshindi wa tuzo hiyo kwa mwaka huu.

Mmoja wa majaji wa shindano la tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, Jumma Dihule (kushoto) akikabidhi cheti cha ushiriki kwa mmoja wa washindani katika tuzo za umahiri wa uandishi wa habari zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mmoja wa majaji wa shindano la tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, Jumma Dihule (kushoto) akikabidhi cheti cha ushiriki kwa mmoja wa washindani katika tuzo za umahiri wa uandishi wa habari zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Ma MCs katika hafla ya utoaji tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, wakiongoza utaratibu wa matukio ya utoaji tuzo za umahiri wa uandishi wa habari katika vipengele anuai. Ma MCs katika hafla ya utoaji tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, wakiongoza utaratibu wa matukio ya utoaji tuzo za umahiri wa uandishi wa habari katika vipengele anuai.

Mmoja wa majaji wa shindano la tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, Ndimara Tegambwage (kushoto) akikabidhi tuzo kwa mmoja wa washindi wa tuzo hizo zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mmoja wa majaji wa shindano la tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, Ndimara Tegambwage (kushoto) akikabidhi tuzo kwa mmoja wa washindi wa tuzo hizo zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Mmoja wa majaji wa shindano la tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, Nathan Mpangala (kushoto) akikabidhi tuzo kwa mmoja wa washindi wa tuzo hizo zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mmoja wa majaji wa shindano la tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015, Nathan Mpangala (kushoto) akikabidhi tuzo kwa mmoja wa washindi wa tuzo hizo zilizofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Mmoja wa washindi wa shindano la tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015 (kulia) akikabidhiwa tuzo yake katika hafla hiyo iliyofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mmoja wa washindi wa shindano la tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2015 (kulia) akikabidhiwa tuzo yake pamoja na kupongezwa katika hafla hiyo iliyofanyika juzi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.[/caption]

Hospitali zatakiwa kuwalinda wapokea kumbukumbu na maambukizi

Mkurugenzi wa Uhakiki Ubora wa Huduma za Afya kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Mohamed A. Mohamed (kulia) aliyemwakilisha Waziri wa wizara hiyo, Bi. Ummy Mwalimu, akizungumza na wanachama wa THERIA kabla ya kufunga mkutano huo.

Katibu Mkuu wa Chama cha Maofisa Kumbukumbu na Taarifa za Afya Tanzania (THERIA), Rehema Mwaipaja akizungumza na wanachama wa THERIA kabla ya kufungwa kwa Mkutano wao juzi.

Katibu Mkuu wa Chama cha Maofisa Kumbukumbu na Taarifa za Afya Tanzania (THERIA), Rehema Mwaipaja akizungumza na wanachama wa THERIA kabla ya kufungwa kwa Mkutano wao juzi.


Na Mwandishi Wetu

WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Bi. Ummy Mwalimu ameziagiza hospitali mbalimbali nchini kuhakikisha zinachukua tahadhari za kuwalinda wafanyakazi wake kitengo cha kumbukumbu katika mazingira ya kupata maambukizi hasa wanapokuwa kazini wakitimiza majukumu yao.

Waziri, Mwalimu ametoa maagizo hayo kupitia hotuba yake iliyosomwa na Mkurugenzi wa Uhakiki Ubora wa Huduma za Afya kutoka wizara hiyo, Dk. Mohamed A. Mohamed alipomwakilisha katika hafla ya kufungwa kwa mkutano wa Chama cha Maofisa Kumbukumbu na Taarifa za Afya Tanzania (THERIA) zilizofanyika juzi jijini Dar es Salaam.

Akizungumza katika hafla hiyo, Dk. Mohamed alisema wizara hiyo, inatambua mazingira hatarishi ambayo wafanyakazi wa kitengo cha kumbukumbu wamekuwa wakifanyia kazi hasa ukizingatia wao ndio watu wa kwanza kukutana na wagonjwa kabla ya kufika kwa madaktari jambo ambalo linaweza kuzua maambukizi kwa magonjwa yaambukizwao kwa njia ya hewa.

"..Natambua pia mazingira mnayofanyia kazi wengi wenu yanayowafanya kuwa kwenye hatari ya kupata magonjwa ya kuambukiza kwani nyie ndo wa kwanza kabisa kukutana na mgonjwa, kabla ya kuonana na daktari au mtaalamu wa vipimo, hivyo kupata maambukizi ya magonjwa hatarishi hasa yaambukizayo kwa njia ya hewa na mengineyo ni rahisi. Woizara yangu inapenda kuwaagiza Wakuu wote wa hospitali nchini kuhakikisha wanarekebisha mazingira mnayofanyia kazi ili kuondoa hali hii," alisema Dk. Mohamed akimwakilisha waziri wake.

Aidha wizara hiyo pia iliahidi kushughulikia kero ya uhaba na ukosefu wa wafanyakazi wa taaluma ya utunzaji kumbukumbu za afya kwenye vituo vya afya na hospitali hapa nchini ikiwa ni pamoja na kuzitaka hospitali na vituo hivyo kuajiri watu wenye taaluma halisi ya utunzaji kumbukumbu na kuhakikisha kada hiyo inapata muundo, stahili zake na kutambulika kama ilivyo kwa makundi ya kada nyingine.

Kwa upande wake Katibu wa Chama cha Maofisa Kumbukumbu na Taarifa za Afya Tanzania, Rehema Mwaipaja akizungumza katika mkutano huo alisema kuwa THERIA ina umuhimu mkubwa hasa ukizingatia kuwa takwimu sahihi za afya ndio msingi bora kwa huduma kamilifu kwa jamii. Aliongeza kuwa uboreshaji wa hali ya ukusanyaji, uchambuzi na utunzaji wa takwimu sahihi za afya unachangia kuboresha tafiti mbalimbali za afya ambazo ni matunda ya ukuaji na uboreshaji wa huduma kiujumla.

"Nidhahiri kuwa ukuaji wa taaluma ya afya hutegemea sana tafiti mbalimbali zitokanazo na taarifa zilizokusanywa na kutunzwa kikamilifu kazi ambayo ni ya msingi kwa afisa kumbukumbu wa afya mahali popote anapofanya kazi, hayo yote huleta faida kwa wagonjwa, taasisi na kwa wafanyakazi," alisema Bi. Mwaipaja.

Wanachama wa THERIA kutoka mikoa mbalimbali walikutana kwa siku mbili mfululizo katika mkutano wao mkuu uliofanyika jijini Dar es Salaam, ambapo pamoja na mambo mengine mkutano huo ulifanya uchaguzi kupata viongozi wapya wa chama hicho.

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...