Saturday, September 5, 2015

LOWASSA MKOANI KIGOMA

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akitembelea kuelekea kwenye Helkopta anayoitumia kwa ziara za Kampeni, iliyokuwepo kwenye Uwanja wa Ndege wa Mpanda, alipokuwa akielekea Mkoani Kigoma kuendelea na ziara zake ya Kampeni, leo Septemba 4, 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),. Edward Lowassa, akipokea saluti kutoka kwa Askari Polisi, wakati alipowasili kwa Helkopta, kwenye Uwanja wa Nguruka Kati, Uvinza, Mkoani Kigoma  kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo, leo Septemba 4, 2015.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI, KIGOMA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa, akikaribishwa na Mwenyeji wake, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini katika mwamvuli wa Ukawa kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, David Kafulila, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Nguruka Kati, Uvinza, Mkoani Kigoma, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo, leo Septemba 4, 2015.Katikati ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa, akiwasalimia wananchi wa Kigoma Kusini, waliokuwa wamefurika kwenye Uwanja wa Nguruka Kati, Uvinza, Mkoani Kigoma  wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika leo Septemba 4, 2015.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe, akiwahutubia wananchi wa Uvinza, Septemba 4, 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Uvinza, Jimbo la Kigoma Kusini, leo Septemba 4, 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini katika mwamvuli wa Ukawa kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, David Kafulila, katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Nguruka Kati,Septemba 4, 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),  Edward Lowassa, akiptia ujumbe maalum ulioandaliwa na Wananfunzi wa Shule ya Msingi Nguruka, Mkoani Kigoma, Septemba 4, 2015.

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini katika mwamvuli wa Ukawa kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, David Kafulila, akiwahutubia wananchi wa Jimbo lake, wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofayika kwenye  Uwanja wa Nguruka Kati, Uvinza, Mkoani Kigoma,  Septemba 4, 2015.



Baadhi ya wananchi wa Mji wa Kigoma Kusini, wakionyesha furaha yako kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,wakati wa Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Nguruka Kati, Uvinza, Mkoani Kigoma

Baadhi wa wasanii wa wakighani mashairi yao kwa umahiri mkubwa.








Usikivu kwa wananchi wa Uvinza.



















Friday, September 4, 2015

Mama Salma Mgeni Rasmi Uzinduzi Kampeni Lindi

Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya Chama cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete akihutubia mamia ya wananchi wa Lindi Manispaa wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na Madiwani utakaofanyika tarehe 25.10.2015

Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya Chama cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete akihutubia mamia ya wananchi wa Lindi Manispaa wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na Madiwani utakaofanyika tarehe 25.10.2015

Mke wa Rais MamaSalma Kikwete akimkabidhi Ndugu Hassan Kaunje ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni hizo tarehe 3.9.2015. Mke wa Rais MamaSalma Kikwete akimkabidhi Ndugu Hassan Kaunje ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni hizo tarehe 3.9.2015.
Baadhi ya wanachama na wananchi katika Manispaa ya Lindi wakishangilia wakati Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM anayewakilisha Manispaa hiyo Mama Salma Kikwete na viongozi wengine wakiingia uwanjani hapo. Baadhi ya wanachama na wananchi katika Manispaa ya Lindi wakishangilia wakati Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM anayewakilisha Manispaa hiyo Mama Salma Kikwete na viongozi wengine wakiingia uwanjani hapo.
Mke wa Rais MamaSalma Kikwete akimkabidhi Ndugu Hassan Kaunje ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni hizo tarehe 3.9.2015. Mke wa Rais MamaSalma Kikwete akimkabidhi Ndugu Hassan Kaunje ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni hizo tarehe 3.9.2015.
Baadhi ya wanachama na wananchi katika Manispaa ya Lindi wakishangilia wakati Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM anayewakilisha Manispaa hiyo Mama Salma Kikwete na viongozi wengine wakiingia uwanjani hapo. Baadhi ya wanachama na wananchi katika Manispaa ya Lindi wakishangilia wakati Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM anayewakilisha Manispaa hiyo Mama Salma Kikwete na viongozi wengine wakiingia uwanjani hapo
Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM anayewakilisha Lindi Manispaa Mama Salma Kikwete akipokea kadi kutoka kwa aliyekuwa mwanachama wa CUF na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mitandi Ndugu Laibu Kaisi aliyeamua kurejea Chama Cha Mapinduzi wakati wa sherehe za uzinduzi rami za kampeni za Chama hicho katika Manispaa hiyo. Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM anayewakilisha Lindi Manispaa Mama Salma Kikwete akipokea kadi kutoka kwa aliyekuwa mwanachama wa CUF na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mitandi Ndugu Laibu Kaisi aliyeamua kurejea Chama Cha Mapinduzi wakati wa sherehe za uzinduzi rami za kampeni za Chama hicho katika Manispaa hiyo.

Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimtambilisha rasmi Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi katika Manispaa ya Lindi Ndugu Hassan Suleiman Kaunje kwa wanachama wa CCM na wananchi wakati akizindua rasmi kampeni hizo kwenye uwanja wa Fisi huko Lindi tarehe 3.9.2015.  Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimtambilisha rasmi Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi katika Manispaa ya Lindi Ndugu Hassan Suleiman Kaunje kwa wanachama wa CCM na wananchi wakati akizindua rasmi kampeni hizo kwenye uwanja wa Fisi huko Lindi tarehe 3.9.2015.

Dk.Bilal Afungua Kongamano la Afrika Rasimu mpya ya Dunia

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Afrika kuhusu Makubaliano ya Rasimu mpya ya Dunia inayohusu Usimamizi wa Masuala ya Tabianchi. Kongamano hilo lilianza jana Sept 3, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar esSalaam. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Afrika kuhusu Makubaliano ya Rasimu mpya ya Dunia inayohusu Usimamizi wa Masuala ya Tabianchi. Kongamano hilo lilianza jana Sept 3, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar esSalaam. Baadhi ya Washiriki wa Kongamano hilo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia. Baadhi ya Washiriki wa Kongamano hilo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mh.  Dianna Melrose, waksikiliza majadiliano wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Afrika kuhusu Makubaliano ya Rasimu mpya ya Dunia inayohusu Usimamizi wa Masuala ya Tabianchi, baada ya ufunguzi wa Kongamano hilo lililoanza jana Sept 3, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar esSalaam Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mh. Dianna Melrose, waksikiliza majadiliano wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Afrika kuhusu Makubaliano ya Rasimu mpya ya Dunia inayohusu Usimamizi wa Masuala ya Tabianchi, baada ya ufunguzi wa Kongamano hilo lililoanza jana Sept 3, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar esSalaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo baada ya ufunguzi jana. Picha na OMR Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo baada ya ufunguzi jana. Picha na OMR

Supersport Live All African Games


Meneja Mkuu wa SuperSport kwa ukanda wa Kusini mwa Afrika, Graeme Murray akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari kutoka nchi za Afrika (hawapo pichani) katika hoteli ya OutriggerHotel & Beach Resort nchini Mauritius Meneja Mkuu wa SuperSport kwa ukanda wa Kusini mwa Afrika, Graeme Murray akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari kutoka nchi za Afrika (hawapo pichani) katika hoteli ya OutriggerHotel & Beach Resort nchini Mauritius[/caption]
.
Na Modewjiblog, Mauritius
WAKATI leo michezo ya 11 ya All African games chaneli ya SuperSport imetangaza rasmi kwamba watashika usukuni wa kurusha matangazo ya michezo hiyo kupitia SuperSport 9 Michezo hiyo imeanza juzi.
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa uzalishaji wa SuperSport, Alvin Naicker wakati akizungumza na waandishi wa habari katika mkusanyiko mkubwa wa MultiChoice uliohusisha waandishi wa habari, masupastaa na chaneli wanazofanya kazi nazo katika hoteli ya OutriggerHotel & Beach Resort nchini Mauritius.
Akiwa mtu kati Naicker alisema kwa kujiamini kwamba urushaji wa matangazo hayo ni sehemu ya uuzaji wa sura ya michezo ya Afrika katika mabara mengine.
Akiwa katika mazungumzo hayo ambayo yalioongozwa na mmoja wa watu wanaotoa burudani kubwa ya utangazaji ndani ya SuperSport, Carol Tshabalala alisema hali hiyo inatokana na uwekezaji mkubwa uliofanywa katika sekta nzima ya burudani na michezo na kampuni ya MultiChoice.
D3A_3571
Mkuu wa masoko wa SuperSuport, Motheo Matsau akifurahia jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari katika visiwa vya Mauritius.
Katika mazungumzo hayo ambapo pia alikuwapo Mkuu wa masoko wa SuperSuport, Motheo Matsau, Meneja mkuu wa SuperSport kwa ukanda wa Kusini mwa Afrika, Graeme Murray na mgeni maalum Anthony Baffoe, mchezaji wa zamani wa kimataifa na Mratibu mkuu wa FIFA na CAF, Naicker alisema ubora wa chaneli yake unatokana na kuweza kunoa vipaji vya watangazaji wake kufikia kiwango cha juu kabisa cha ubora.
Kama mwekezaji mkubwa wa masuala ya michezo katika bara la Afrika, SuperSport imepata matokeo ya kuridhisha na yenye tija.
“Mwaka 2006 tulipeleka kundi dogo la watu 26 Abudja kutangaza mpira lakini leo hii tunaringia kuwa na asilimia 100 ya watangazaji wenyeji wakifanyakazi zao katika nchi za Nigeria na Ghana,”alisema Murray.
Baffoe naye aliongeza kwamba mchango wa SuperSport umeongeza zaidi ya utangazaji na kuwezesha kuongezeka kwa kiwango cha uprofesheni katika ligi mbalimbali barani Afrika.
D3A_3677
Mchezaji wa zamani wa kimataifa na Mratibu mkuu wa FIFA na CAF, Anthony Baffoe akifafanua jambo katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani).
“SuperSport iliweka msingi wa utoaji leseni kwa klabu, kuwaelimisha watawala, kuweka viwango vya msingi katika viwanja, kusaidia kuanzishwa kwa umoja wa wachezaji, kuwafanya wachezaji kuwa wadau muhimu katika ligi na kuwaruhusu wajipange kwa maisha nje ya soka,” alisema.
Murray alielezea jinsi watangazaji walivyoweza kujishirikisha katika ligi za wenyeji kama mfano bora namna ambavyo Supersport imesaidia michezo katika bara hili
“Tulianza kushirikiana na Ligi Kuu ya Nigeria mwaka 2006 na imeendelea kukua mwaka hadi mwaka,” alisema. “Tuliweza kuingia katika Super Eagles’ League ya Nigeria na ligi ya kikapu ya Nigeria, ligi zote mbili zinafanya vyema kuliko hapo awali.Tumekuwa washirika wa Ligi Kuu ya Kenya kuanzia mwaka 2008 na Ligi Kuu ya Ghana toka mwaka 2012. Inatakiwa kukumbukwa kwamba kabla ya kuingia kwetu Kenya hakuna hata mechi moja ya ligi iliweza kutangazwa katika runinga na sasa ligi inazidi kukua.”
D3A_3659
Mkuu wa uzalishaji wa SuperSport, Alvin Naicker akisisitiza jambo katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani).
Aidha SuperSport katika siku za karibuni imekamilisha mkataba na waendeshaji wa Ligii kuu ya Zambia kuendelea kuonekanakana katika Supersport kwa miaka mitano ijayo.
Aidha chaneli ya SuperSport inajipanga kuanzisha jarida nchini Zambia litakalouza soko la Zambia kwa mataifa ya Afrika.
Mkuu wa masoko wa SuperSport, Motheo Matsau pia ameongeza kwamba kunahitajika kuuza kwa michezo bara la Afrika na kwa yakini kama maendeleo yaliyopo hayataonekana kwa dunia , itakuwa hakuna maana, kinachojalisha ni kwa kadamnasi ya kimataifa kujua kwamba Afrika ina vipaji bora kabisa katika michezo.
Alisema kupitia matangazo ya chaneli hiyo kunaonesha kwamba mauzo yanaleta faida kama ulivyo mchezo wenyewe na hilo ndilo linafanya Super Sport kuwa chaneli bora zaidi duniani.
Wakati mtu akitoka katika mafunzo ya utangazaji ya chaneli hii anajua michezo na ajui namna ambavyo masuala ya utangazaji yanavyofanyakazi. Watu hawa wanakuwa mabalozi wetu na vyanzo muhimu sana vya habari.Tunatia SuperSport uhai kwa kuwakutanisha watu hawa.”
Naicker katika mazungumzo hayo alisisitiza kuendelea kuwepo kwa mahusiano mazuri kati ya SuperSport na wadau wa michezo wa bara la Afrika.
“Sisi si kwamba tunalipa fedha kwa ajili ya kupata kibali cha kutangaza au kupiga picha za video tukio la burudani hii, lazima kuwepo na utoaji wa elimu, mchakato unaostahili kukabiliwa na pande zote mbili.
Tunapaswa kujua muda gani unastahili kuchezwa na mambo gani ambayo hayastahili kuyatangaza. Tumetengeneza kijarida cha utangazaji ili kila mmoja aweze kusoma kuwasaidia wengine katika mchakato wa namna matangazo yanavyorushwa na ushawishi wake lojistiki, usahihi wa muda na upangaji fixtures. Tunataka ujenga ushirikiano wenye ufanisi kwa muda mrefu,” alisema.
Naicker pia alitumia nafasi hiyo kuelezea furaha yao ya kupata zabuni ya kutangaza michezo ya olimpiki ya mwaka 2016.
D8A_1013
Carol Tshabalala wa Supersport akiendesha mkutano na waandishi wa habari.
“Tutakuwa chaneli nyingi za michezo hiyo, kiwango cha chini kabisa zikiwa ni chaneli 6 kwenye SuperSport bouquet,” alisema.
“Tutarusha kila tukio ambalo mwafrika ana nafasi ya kutwaa medali. Tumetengeneza makundi ya watangazaji na timu zao kufuatilia timu za Kiafrika katika tukio hilo kubwa. Aidha tayari tumeshaanza mazungumzo na mamlaka kubwa za michezo katika nchi za bara la Arika kujua watu ambao wanaweza kutwaa medali ili kuanza kuandaa stori zao kuelekea michezo ya Olimpiki.”
“Tunajivunai si tu kuwa watangazaji wazuri wa michezo katika bara la Afrika, bali duniani,” anasema Naicker.
Kwa kuwatumia masupastaa wa Afrika kama akina Sammy Kuffour kuelezea masuala ya kiufundi na utaalamu wa ndani unachokiona, kusaidia kunyanyua michezo kutoka katika ngazi za awali chini kabisa kwa kuwa na miradi maalumu, SuperSport inaongoza katika kuelezea mafanikio ya Afrika katika michezo kwa mataifa mengine duniani.
Mwandishi wa habari hizi na wengine kutoka nchi mbalimbali za Afrika wapo nchini Mauritius katika moja ya maonesho makubwa ya watoa burudani kwa njia ya televisheni na video ya MultiChoise wanaotumia mtandao wa DSTV na GoTv.

Wednesday, September 2, 2015

Wazimbabwe Kujifunza Kilimo Cha Tumbaku Tanzania

Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano Kampuni ya Tumbaku Tanzania na Kiwanda cha Kusindika Tumbaku (TTPL), Bw.Richard Sinamtwa (Kulia) akifafanua jambo kwa wadau wa tumbaku kutoka Zimbabwe walipotembelea kiwanda hicho kwa ziara ya mafunzo Mjini  Morogoro. Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano Kampuni ya Tumbaku Tanzania na Kiwanda cha
Kusindika Tumbaku (TTPL), Bw.Richard Sinamtwa (Kulia) akifafanua jambo kwa
wadau wa tumbaku kutoka Zimbabwe walipotembelea kiwanda hicho kwa ziara ya
mafunzo Mjini  Morogoro.[/caption]
Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano Kampuni ya Tumbaku Tanzania (TLTC) na Kiwanda cha Kusindika Tumbaku (TTPL), Bw.Richard Sinamtwa (Kulia) akiwaongoza wageni kutoka Bodi ya Tumbaku na Masoko ya Zimbabwe walipotembelea kiwanda hicho kwa ziara ya mafunzo Mjini  Morogoro.
Meneja Mapokezi wa Tumbaku kwenye Kiwanda cha Kusindika Tumbaku (TTPL), Bw.Nico Zambetakis akifafanua jambo kwa wadau wa tumbaku kutoka Zimbabwe walipotembelea kiwanda hicho kwa ziara ya mafunzo Mjini  Morogoro.

Tuesday, September 1, 2015

MULTICHOICE AFRICA CONTENT SHOWCASE


.
IMG_5901
Head of delegation from Tanzania, Public Relations Manager at MultiChoice Tanzania Ltd, Barbara Kambogi pose for a photo with Tanzanian Journalists who have been invited to Mauritius to experience the biggest week in Africa's video entertainment, hosted by MultiChoice Africa.
IMG_5906
Invited guests from Botswana poses for a group photo.
IMG_5912
Comedian from Nigeria, Basket Mouth (left) pose for a photo with award winning singer and songwriter Mr.Flavour
IMG_5913  
The Guardian Newspaper Senior Reporter Sylivester Domasa with Nigerian Comedian Basket-Mouth (right) and award wining singer and song writer Mr.Flavour
dav
Invited guests mingle at the VIP Lounge upon their arrival.
Dear readers
We are in Mauritius to experience the biggest week in Africa’s video entertainment, hosted by MultiChoice Africa.
We have arrived at Sir Seerwoosagur Ramgoolan International Airport just some hours ago and the fun has already started.
For the next five days, we will be treated to ‘ONLY THE BEST’ in video entertainment on the DStv and GOtv.
We are here, and the only thing we have been encouraged, is to open our mind to experience television like we had never before and also to grab the opportunity to interact with various exciting channels that will engage with us and give an exclusive, in-depth and VIP experience of their content.
I trust that throughout this event, I will have plenty of material to share with you.
I look forward to give you an amazing Africa-inspired content live-in action.
While am here definitely I will touch and rubbed shoulders with the stars of Hollywood, Nollywood, Bollywood and so much more. I am truly looking forward to sharing with you this exciting journey of television content discovery.
Be part of the conversation on social media with the hashtag: #OnlyTheBest. And please follow us on social media via Twitter: @MCAShowcase; Instagram: @MultiChoice_Africa and Facebook Group: #OnlyTheBest

HIVI NDIVYO MAGUFULI ALIVYOITIKISA RUVUMA




Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akihutubia umati wa wakazi wa mji wa Songea, ambapo alisema katika serikali yake wakulima hawatokopwa mazao yao, mbolea zitapatikana kwa wakati, barabara zitaboreshwa ,elimu bure mpaka kidato cha nne, kuongeza maslahi ya walimu pamoja na kuboresha huduma za afya. 

 Mgombea Ubunge Jimbo la Peramiho, Jenista Mhagama akipokea Ilani ya Uchaguzi ya CCM kutoka kwa Mgombea Urais kupitia chama hicho, Dk Magufuli wakati wa mkutano huo wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Tamasha mkoani Ruvuma.
 Dk Magufuli akimnadi Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Nyasa, Stelah Manyanya katika mkutano wa kampeni katika Mji wa Lituhi,ambapo pia alimkabidhi Ilani ya chama hicho.

 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi mgombea ubunge wa Jimbo la Mbinga Ndugu Sixtus Mapunda kitabu cha Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Mbinga mjini.
 Dk Magufuli akishuka kwenye Kivuko cha Mto Ruhuhu akitokea Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe kwenda Mbinga  mkoani Ruvuma kuendelea na kampeni za urais ubunge na udiwani. Dk Magufuli ameahidi kujenga daraja la mto huo.

 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli akizungumza jambo na mkazi wa mji wa Peramiho ambaye ni mlemavu wa ngozi,jioni ya leo mara baada ya kumaliza kuwahutubia wananchi wa mji huo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.
Dk Magufuli akimsalimia mmoja wa walemavu waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni mjini Mbinga.


 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCm Dk. Emmanuel Nchimbi akihutubia wakazi wa Songea mjini ambapo aliwataka wananchi hao kumpa kura nyingi Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli kwenye uchaguzi utakaofanyika Oktoba 25,kwa sababu ni Muaminifu,muadilifu na ni mchapa kazi.
 Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Ndugu William Lukuvi akihutubia wakazi wa Songea mjini kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Maji Maji jioni ya leo.
 Maelfu ya Wananchi wakiwa wamefurika ndani ya uwanja wa maji maji mjini Songea jioi ya leo kwenye mkutano wa kampeni wa CCM,mkoani Ruvuma jioni ya leo,ambapo Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe aliwahutubia wananchi hao.
  Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mbinga.
 Waanchi wakifuatilia hotuba ya Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Tamasha-Peramiho mkoani Ruvuma jioni ya leo.
 Wananchi wakishangilia 
 Umati wa wakazi wa Peramiho wakisikiliza hotuba ya Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni katika uwanja wa Tamasha ndani ya jimbo la Peramiho mkoani Ruvuma. 
 Baadhi ya Wananchi wa Peramiho wakifurahia jamo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.
 Mgombea urais wa Tanzania kupitiaa CCM,, dK John Magufuli akiwa na watoto aliowapatia zawadi alipokuwa akiondoka baada ya kujinadi katika Jimbo la Peramiho, mkoani Ruvuma
  Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akiwaaga wakazi wa Mbinga.
 Wananchi wakishangilia jambo kwenye mkutano wa kampeni za ccm leo jioni ndani ya uwanja wa Maji Maji mjini Songea.

 Wananchi wa Songea mjini wakishangilia jambo wakati mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia katika mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Maji maji mjini humo.

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...