Sunday, May 25, 2014

Harusi ya Phillip Mwihava wa Clouds FM na Evodia Elias

Phillip Mwihava akiwa na mkewe Evodia Elias kwenye hafla kambambe ya harusi yao iliyofanyika katika ukumbi wa Deluxe, Sinza Dar es Salaam Jumamosi ya 24/05/2014. 
Phillip Mwihava akiwa na mkewe Evodia Elias kwenye hafla kambambe ya harusi yao iliyofanyika katika ukumbi wa Deluxe, Sinza Dar es Salaam Jumamosi ya 24/05/2014.
Phillip Mwihava akiwa na mkewe Evodia Elias kwenye hafla kambambe ya harusi yao iliyofanyika katika ukumbi wa Deluxe, Sinza Dar es Salaam Jumamosi ya 24/05/2014. 
Phillip Mwihava akiwa na mkewe Evodia Elias kwenye hafla kambambe ya harusi yao iliyofanyika katika ukumbi wa Deluxe, Sinza Dar es Salaam Jumamosi ya 24/05/2014.
Phillip Mwihava  
Phillip MwihavaPhillip Mwihava na mkewe Evodia Eliaspamoja na wasimamizi wao. 
Phillip Mwihava na mkewe Evodia Eliaspamoja na wasimamizi wao.Phillip Mwihava na mkewe Evodia Elias wakiwaongoza wasimamizi wao kuelekea kupata maakuli. 
Phillip Mwihava na mkewe Evodia Elias wakiwaongoza wasimamizi wao kuelekea kupata maakuli.
Matukio Picha Katika Harusi ya Phillip Mwihava wa Clouds FMMatukio Picha Katika Harusi ya Phillip Mwihava wa Clouds FMMatukio Picha Katika Harusi ya Phillip Mwihava wa Clouds FMMatukio Picha Katika Harusi ya Phillip Mwihava wa Clouds FMIMG_0790Matukio Picha Katika Harusi ya Phillip Mwihava wa Clouds FMIMG_0794IMG_0820Matukio Picha Katika Harusi ya Phillip Mwihava wa Clouds FMMatukio Picha Katika Harusi ya Phillip Mwihava wa Clouds FMMatukio Picha Katika Harusi ya Phillip Mwihava wa Clouds FMIMG_0842Matukio Picha Katika Harusi ya Phillip Mwihava wa Clouds FMMatukio Picha Katika Harusi ya Phillip Mwihava wa Clouds FMMatukio Picha Katika Harusi ya Phillip Mwihava wa Clouds FMMatukio Picha Katika Harusi ya Phillip Mwihava wa Clouds FMMatukio Picha Katika Harusi ya Phillip Mwihava wa Clouds FMMatukio Picha Katika Harusi ya Phillip Mwihava wa Clouds FMMatukio Picha Katika Harusi ya Phillip Mwihava wa Clouds FMMatukio Picha Katika Harusi ya Phillip Mwihava wa Clouds FMMatukio Picha Katika Harusi ya Phillip Mwihava wa Clouds FM Wakati wa masotojo ukawadia. Wakati wa masotojo ukawadia.Matukio Picha Katika Harusi ya Phillip Mwihava wa Clouds FM Matukio Picha Katika Harusi ya Phillip Mwihava wa Clouds FM Matukio Picha Katika Harusi ya Phillip Mwihava wa Clouds FM Matukio Picha Katika Harusi ya Phillip Mwihava wa Clouds FM Matukio Picha Katika Harusi ya Phillip Mwihava wa Clouds FM Matukio Picha Katika Harusi ya Phillip Mwihava wa Clouds FM Matukio Picha Katika Harusi ya Phillip Mwihava wa Clouds FMMatukio Picha Katika Harusi ya Phillip Mwihava wa Clouds FM Matukio Picha Katika Harusi ya Phillip Mwihava wa Clouds FM Matukio Picha Katika Harusi ya Phillip Mwihava wa Clouds FM Matukio Picha Katika Harusi ya Phillip Mwihava wa Clouds FM

Saturday, January 11, 2014

Harusi ya Bw. Bushiri Kaubanika na B. Mwatabu Tamarawe

Bwana Bushiri Kaubanika akiwa na mkewe Mwatabu Tamarawe wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga pingu za maisha, harusi hiyo ilifungwa Gongo la Mboto Mwisho wa lami na kufuatiwa na tafrija iliyofanyika Kigogo Dampo jijini Dar es Salaam. Bwana na bibi wote ni walimu wa shule.

Bwana Bushiri Kaubanika na Bi. Mwatabu Tamarawe

Bi. Mwatabu Tamarawe

Bwana Bushiri Kaubanika

Bwana Bushiri Kaubanika na Bi. Mwatabu Tamarawe

Bwana Bushiri Kaubanika na Bi. Mwatabu Tamarawe. Picha kwa hisani ya www.burudan.blogspot.com.

Tuesday, November 19, 2013

Sherehe ya Beatrice Mroki Siku Alipopata Sakramenti ya Kipaimara Jijini Dar es Salaam

Novemba 17, 2013 ilikuwa siku ya furaha sana kwa Beatrice Mroki (kushoto) kwa kupata sakramenti yake ya Kipaimara baada ya kuhitimu mafunzo ya miaka miwili katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Ukonga jijini Dar es Salaam. Pichani ni Beatrice akigonganisha glasi na msimamizi wake Neema Steven wakati wa tafrija maalum ya kumpongeza iliyofanyika katika ukumbi wa Samunge Ukonga Mazizini.

 Hapa ilikuwa Kanisani wakisubiri kupokea Kipaimara katika KKKT Ukonga.

 Baada ya Kipaimara baba na mama yake Beatrice wakilamba picha na Binti yao.

 Nasisi tulijipongeza kwa malezi bora Mungu aliyotujalia.

 Bibi zake Beatrice wakijipongeza na kumtakia heri Mjukuu wao.

 Beatrice na wapambe wake...

Pongezi kutoka kwa wazazi...

 Dada Kilave akimpongeza mdogo wake

 Kikundi cha Ligimilo wakicheza kwaito...

 Keki ilikuwa hiviii ...

 na ilikatwa hivi....

 Ikaliwa hivi... Hapa Beatrice akimlisha mdogo wake Glory.


 Father Kidevu wakati wa zawadi alimpa gwala binti yake

 Muongezaji maarufu wa filamu za Kibongo Leah Mwendamseke nae alikuwepo.


 Ligimilo wakitangaza zawadi yao..

 Weee...!! Tulia nami nimsaidie baba leo...Glory Mroki akimfotoa dadayake picha.

 Kazawadi haka jamani... siku moja nitavaa shati lake.

 Huko jikoi mambo yalikuwa hivi

 Mwisho lilishuka sebene kali kutoka kila aina ya muziki kuanzia injili hadi katika kiduku namna hii.

Saturday, November 9, 2013

Usiku wa Khanga za Kale Ndani ya Hoteli ya Serena Dar

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Cheti mwakilishi wa Michuzi Media Group, Othman Michuzi, kwa kutambua mchango wake katika kufanikisha sherehe za Usiku wa Khanga, zilizofanyika jana usiku katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mratibu wa Hafla hiyo, Asia Idarus. Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Cheti mwakilishi wa Michuzi Media Group, Othman Michuzi, kwa kutambua mchango wake katika kufanikisha sherehe za Usiku wa Khanga, zilizofanyika jana usiku katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mratibu wa Hafla hiyo, Asia Idarus.

 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Cheti Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred, kwa kutambua mchango wake katika kufanikisha sherehe za Usiku wa Khanga, zilizofanyika jana usiku Novemba 8, 2013 katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mratibu wa Hafla hiyo, Asia Idarus.

 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Cheti Mkurigenzi wa Gazeti la Jambo Leo, Benny Kisaka, kwa kutambua mchango wake katika kufanikisha sherehe za Usiku wa Khanga, zilizofanyika jana usiku katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mratibu wa Hafla hiyo, Asia Idarus.

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...