Monday, September 5, 2016

Bw Robson Baliyanga na bi Penina Mkama Wafunga Pingu za Maisha


Bwana Robson Mkesha Baliyanga na Bi Penina Mkama, baada ya kufunga ndoa takatifu katika Kanisa la EAGT Lumala Mpya Jijini Mwanza, chini ya Mchungaji Kiongozi Dkt.Daniel Moses Kulola.

Baada ya ndoa, Hafla ilifanyika kwenye Ukumbi wa Maendeleo House Jijini Mwanza, kama picha inavyoonesha maharusi wakiingia Ukumbini.
Na BMG
Maharusi, Bwana Robson Mkesha Baliyanga (kushoto) na Bi Penina Mkama (kulia) wakiingia ukumbini
Mc Joel Maduka, akitoa mwongozo kabla maharusi kuingia ukumbini
Mwenyekiti wa kamati ya harusi (kushoto) akiwakaribisha maharusi
Mchungaji wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya, Dk. Daniel Kulola, akifungua sherehe kwa maombi
Maharusi wakikata utepete kuingia ukumbini
Maharusi wakilishana keki, ishara ya upendo
Mwanamke heshima
Wasimamizi/Wapambe wa maharusi nao wakilishana keki
Maharusi na wapambe wao
Maharusi wakinyweshana shampeni

Ndugu, jamaa na marafiki wakiwapongeza maharusi
Mwenyekiti wa kamati ya harusi akitoa neno kwa maharusi


Wageni waalikwa

Taswira ukumbini

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...