Saturday, December 29, 2012

Catherine Masumbiga Mwanamitindo Bora 2012

div dir="ltr" style="text-align: left;" trbidi="on">
Mwanamitindo bora wa mwaka 2012 Catherine Masumbiga (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Unique Model Photogenic Elizabeth Pertty (kushoto) na Unique Model Talent Vestina Charles mara baada ya kutangazwa kwa mshindi.
Mwanamitindo wa mwaka 2012 Catherine Masumbiga (katikati) amepatikana jana usiku kwenye shindano lililofanyika kwenye Klabu ya New Maisha jijini Dar es Salaam akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wa pili Cesilia Michael (kushoto) na mshindi watatu Amina Ayubu.




Washiriki waliongia tano bora.
Washiriki waliongia tano bora.
Majaji wa shindano hilo kutoka kushoto ni Gymkhana Hilal kutoka Paka Wear , Asia Idarous na Martine Kadinda.
Unique Model Talent of the year 2012 Vestina Charles akionyesha uwezowake wa kucheza jukwaani.
Wakitumbuiza mashabiki mapema kabla ya kuingia kuonyesha mavazi ya aina mbalimbali.
Washiriki 12 wa shindano hilo wakiwa wamejipanga tayari kusubiri kutangazwa mshindi.

Sunday, December 23, 2012

Happybirthday Sarita Swaleh

Keki kwa Shampeni ikiwa ndani ya eneo la tukio hapo wakati wa sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa Mdau Sarita Swalehe


Sarita Swaleh akikata keki tayari kuwalisha baadhi ya marafiki waliohudhuria hafla hiyo iliyofanyika nyumbani kwao Kijitonyama
 Akimimina Shampeni tayari kwa kuwapa rafiki zake kipenzi waliohudhuria hafla fupi ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake
 Sarita Akimlisha Keki mmoja wa Wadogo zake 
Sarita Akimlisha Keki Mmoja wa Rafiki zake waliohudhuria hafla hiyo ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake nyumbani kwao
Muda wa Maakuli sasa kila Kitu kilikuwa Kujisevia


Hapo Vinywaji kwanza vikitembea
Baadhi ya marafiki waliohudhuria hafla hiyo iliyofanyika nyumbani kwao Kijitonyama
Sarita Swaleh akiwa katika Picha ya Pamoja na baadhi ya rafiki zake waliohudhuria hafla hiyo iliyofanyika Jana nyumbani kwao

Picha zote kwa hisani ya Lukaza Blog

Wednesday, December 5, 2012

Harusi ya Amrad Charles Mlowola na Edina Aminiel Mzirary

Harusi ya Amrad Charles Mlowola na Edina Aminiel Mzirary.
Ilifanyika Kanisa: CCT UDSM Chapel, Oktoba 13, 2012.
Tafrija ya Pongezi ilifanyika: Hellemic Club Dar es Salaam.


 Harusi ya Amrad Charles Mlowola na Edina Aminiel Mzirary


 Bwana Harusi Amrad  Mlowola akipozi na mkewe Edina muda mfupi baada ya ibada ya ndoa yao

 Bwana Harusi Amrad  Mlowola pamoja na Biharusi Edina Aminiel wakiingia kanisani kufunga ndoa yao

 Katika poziiii..!

 Hapa ni katika pozi na wazazi wa bi. harusi

Maharusi wakipiga picha na mapambo yao

 Ukumbini Hellemic Club

 Wazazi wa Bwana Harusi, Bwana na Bibi Charles Mlowola wakiingia ukumbini

 Wazazi wa bwana harusi

Picha za kumbukumbu na wazazi na ndugu, jamaa na marafiki..!

Tuesday, December 4, 2012

Harusi ya Mjuni Makubo na Mkewe Dorothea Mjuni


Bwana Harusi Mjuni Makubo akiwa katika picha ya Pamoja na Baadhi ya Wapambe wao katika sherehe ya harusi yao iliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City Desemba Mosi 2012.
  Bwana Harusi Mjuni Makubo Pamoja na Mkewe wakiwa katika Picha ya Pamoja na Ndugu zake Kabla ya kuingia Ukumbini. Kutoka Kushoto ni Mugisha Msheluzi Makubo akifuatiwa na Mkewe Diana, Mdogo wa Bwana Harusi Fiona Makubo, Mjuni na Mkewe, Akifutiwa na Mdogo wake bwana Harusi Leoncia Makubo, Mama yake Mjuni Makubo Bi Lydia Makubo na Mdogo wake Lukiza Makubo 
 
  Mr Na Mrs Mujuni Makubo wakiwa katika pozi mara baada ya kuingia ukumbini katika sherehe fuppi ya Ndoa yao iliyofanyika Katika Ukumbi wa Mlimani City Desemba Mosi 2012.
 
 Bibi Na Babu yake Mjuni Makubo, Mama Leoncia Lukaza na Justus Kato Lukaza (wazazi wa baba Mjuni Mzee Makubo) wakitoa neno kwa wajukuu zao Dorothea na Mjuni Makubo katika hafla ya harusi yao iliyofanyika Desemba Mosi 2012 katika Ukumbi wa Mlimani City.
  Baba wadogo Wa Bwana Harusi Mjuni Makubo.Kutoka Kushoto Ni Mgisha Lukaza, Katikati ni Bwana Harusi Mwenyewe Mjuni Makubo na Mwisho ni Mwesigwa Lukaza wakiwa na nyuso za furaha baada ya kijana wao kuaga rasmi maisha ya ukapera.
 
 Baadhi ya Wageni waalikwa waliohudhuria sherehe ya harusi ya Mjuni na Dorothea Makubo iliyofanyika Katika Ukumbi wa Mlimani City Desemba Mosi 2012.
 
Hii ndio Kamati Nzima ya Maandalizi ya Sherehe ya Harusi ya Mjuni na Dorothea Makubo iliyofanyika Desemba Mosi 2012 katika Ukumbi wa Mlimani City.
 
 Baba Mzazi na Mama Wa Bwana Harusi Mh Mjuni Makubo wakitoa nasaha kwa watoto wao mara baada ya kufunga ndoa takatifu na sherehe fupi kufanyika katika ukumbi wa Mlimani City Desemba Mosi 2012.
 
 Wazazi wa Bibi Harusi wakitoa Nasaha kwa Watoto wao mara baada ya kufunga ndoa takatifu na sherehe kufanyika katika ukumbi wa Mlimani City Desemba Mosi 2012.
 
Kwa Mila za Kihaya Mwanaume anapooa Wazazi wake umkabidhi Mkuki Kwa ajili ya Ulinzi na Sio Kumdhuru na Kumpiga Mkewe.
 
Mzee Makubo (Baba Mzazi ) wa Bwana Harusi Mjuni Makubo Akimvalisha Kanzu ikiwa kama ishara na Mila za kihaya kwamba Ameshakuwa na anaweza Kuchangia katika Vikao vya Watu wazima
 Bwana na Bibi Harusi Mjuni Na Dorothea Makubo wwakisubiri kukata keki tayari kwa kulishana ikiwa ni ishara ya Upendo katika Ndoa yao.   

 
 Zawadi kutoka Kwa ndugu jamaa na marafiki.
  Baba Mdogo wa Bwana Harusi Jonnes Lukaza akifuatilia kwa makini kila Kinachoendelea katika Ukumbi huo.  Picha kwa hisani ya Blog Lukaza.

Saturday, December 1, 2012

Harusi ya Richard Mllatie Assey na Bi. Jackline Hamson Ghika


Bwana Harusi Richard Mllatie Assey akimvisha pete mkewe Bibi. Jacline Hamson Ghikas wakati wa ndoa takatifu illiyofungwa leo jijini Dar es Salaam katika kanisa la St. Peters.
Maharusi wakipigana busu bashasha baada ya kuvishana pete.
Bwana Harusi Richard Mllatie Assey akiangusha saini katika gamba la kuhalalisha ndoa takatifu.
Bibi Harusi Jackline Richard Mllatie Assey naye akitia saini.
Maharusi wakionyesha vyeti vya ndoa.
Wapambe wa maharusi wakati wa ibada ya ndoa takatifu,
Wazazi wa Maharusi Mr & Mrs Assey na Mama mzazi wa Bwana harusi wakionyesha furaha baada ya watoto wao kufunga ndoa.
Pichani juu na chini baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki waliofika kushuhudia ndoa takatifu ya Bwana na Bibi Richard Mllatie Assey.
Bwana na Bibi Harusi Richard Mllatie Assey na Jackline Hamson Ghikas wakitoka kaniasani baada ya kufunga ndoa takatifu katika kanisa la St. Peters Oysterbay jijini Dar.
Wakionyesha nyuso za Furaha baada ya kuhalalisha ndoa yao.
Bwana Harusi Richard Mlatie Assey na mpambe wake wakishine na Suti matata zilizobuniwa na Sheria Ngowi.
Wapambe wa maharusi katika pozi.
Wapambe wakiume ndani ya suti zilizobuniwa na Sheria Ngowi.

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...