Monday, August 29, 2011

Sherehe ya 'send off' ya Lilian Mbaga


Bi. Lilian Mbaga akiwa na mpambe wake Marry Ezekiel wakiwa katika maandalizi ya mwisho (send off) kabla ya kwenda kufunga ndoa na mme wake Glovann Nguva katika Kanisa la Kristu Mfalme la Tabata jijini Dar es Salaam. (Picha kwa hisani ya FullShangwe)

Harusi ya Mtabi na mkewe Marrygoreth


Mtabi na mke wake Marrygoreth wakiwa katika pozi la picha baada ya kufunga ndoa yao katika Kanisa la Mtakatifu Mwenye Heri, Anwarite la Makuburi na kufuatiwa na tafrija kubwa iliyofanyika katika Ukumbi wa Landmark Hoteli jijini Dar es Salaam. (Picha kwa hisani ya FullShangwe Blog)

Monday, August 22, 2011

Harusi ya Inno Mac na mkewe Macrina Caesar

Maharusi Inno Mac na mkewe Macrina Caesar wakiwa katika mapozi siku ya harusi yao.

 Kutoka kulia ni Inno Mac na mkewe Macrina Caesar mbele yake wakiwa na wapambe wao (kulia) siku ya harusi yao iliyofanyika jijini Dar es Salaam (Picha kwa hisani ya familia ya Mzee Mac)







Sunday, August 7, 2011

Harusi ya Joseph Kamonga na mkewe Dostea


Bwana Harusi Joseph Kamonga akiwa amemnyanyua juu mkewe Dostea  Chalamila baada ya kufunga pingu za maisha leo mjini Ludewa.


Bw. na Bi. Joseph Kamonga wakiwa na nyuso za furaha ndani ya Ukumbi wa CCM Ludewa baada ya kufunga doa yao. (Picha na Michuzi Blog)

Saturday, August 6, 2011

Harusi ya Josiah na mkewe Joyce


Josiah akimvisha pete mkewe Joyce siku walipofunga ndoa yao mbele ya Padre Patrick wa Kanisa la Mtakatifu Gasper De Bufallo Mbezi Beach.

Bibi Harusi Joyce akianguka wino kuashiria kumkubali mumewe kwa kila hali katika maisha yao yote ya ndoa huku akishuhudiwa na Padre Patrick wa kanisa hilo aliyewafungisha ndoa.


Bwana na Bibi harusi Josiah na Joyce wakiwa na wadhamini wa ndoa yao kanisani siku ya ndoa yao. 


Ni-bebe ni beeee beeee! Ni-bebe ni beeeeee beeee! Ndivyo anavyoashiria kuimba Bi. Joyce wakati mumewe alipombeba walipokuwa wakipata picha za ukumbusho wa tukio hilo la milele huko pembezoni mwa Bahari ya Hindi jijini Dar es Salaam baada ya ndoa yao. (Picha kwa hisani ya Full Shangwe Blog)



Thursday, August 4, 2011

CLARA'S PRE-WEDDING PARTY

Clara akiwa na mpambe wake siku ya Send Off yake

Clara akiwa na mume wake mtarajiwa siku ya Send Off.

Clara katika picha ya pamoja na wanakamati wa sherehe yake. (Picha zote kwa hisani ya Blog ya Harusini) 


SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...